Monday, October 3, 2011

USICHANA WANGU...

kuna dada amenitumia mail anasema yeye ni msichana wa miaka 25, siku zote za maisha yake hajawahi kukutana kimwili na mwanaume na sasa amepata mchumba wa kumuoa na wamekubaliana hawatakutana kimwili mpaka wakati wa fungate, sasa anaomba ushauri aanzaje watakapokuwa chumbani kwa kuwa ni mara yake ya kwanza kupewa raha ya mwili..

Reactions:

4 comments:

 1. asipate pressure kwani ni rahisi sana anachotakiwa kufanya ni kulala kifo cha mende kwa maana aanze kuhesabu bati juu ya paa kisha aache mashine wazi kwa ajili ya kumhamasisha mwenzake kisha asubiri aone mambo yatakayokuja ila sina hakika kama jamaa nae ni mtaalaam au ni mbumbumbu kama huyo binti. ila napenda kuuliza kama pamoja na kutofanya tendo la ndoa kwa umri wa miaka 25 je huyo bibie bado bikraa? au iliharibika wakati anacheza netiboli shuleni? maana kama haipo bikraa bac hakuna haja ya kuhofu kwani atapata mautamu kama kawa au kama bado bikraa nitamshauri apake mafuta ya kichina yanaitwa qiutyn zhuo ni kuongeza njia kwa akina dada yapo kariakoo mtaa wa pili karibu na msimbazi zaidi ya hapo subiri kama kajamaa kanao wa punda bac umeisha dadangu lakini jaribu kabla ya siku ya ndoa mpapase jamaa ujue ana kilo ngapi za shaft ili ujipime maana ukiona anajiamini ujue ana kitu kinachozidi kimo chako haya utaona yatakayofuata. La sivy mtafute kungwi akupe tizi au la yaka.....

  ReplyDelete
 2. kwanza nakupa hongera kwakujitunza mpaka umri huu kama unasema kweli ubarikiwe sana kwa maana dunia ya sasa ni bahati kuku msichana wa umri wako anabikira hongera sana kwa kujitunza na kitu cha kwanza hakikisha mnaenda kupima h.i.v kabla ya yoote tena pima mara tatu isije kuwa kujitunza kote usije ukaangukia pabaya mimi ndio hiyo ushauri wangu wengine watakuchangia namna ya kuanza maana mimi kwakweli sina chakukushauri kwa hilo nakutakia maisha mema ya ndoa yako

  ReplyDelete
 3. asilimia kubwa ya wanaoolewa bikira wanakuwa sio waaminifu kwenye ndoa. take care

  ReplyDelete
 4. asubiri siku itakapofika tu..me nampa hongera kwa umri wake kuwa bado yo bikira.

  ReplyDelete