Thursday, September 22, 2011

KITUKO...
yani jamani leo nimesikia kituko cha kusikitisha maana nikisema kinafurahisha hata muumba wangu sitamuheshimu.


leo kaja mwanaume mmoja ofisini anatangaza bei ya mwili wake anajitambulisha kabisa halafu anakuelekeza anapokaa, na anasema yeye mzunguko wa kwanza ni offer halafu kwanzia ya pili ndio unalipia, kwahiyo kama unataka anachukua namba ya simu anakutafuta baadae.......


dunia hii kweli imeanza kuonyesha dalili za kufika mwisho.

Reactions:

6 comments:

 1. Blogu inaongelea mambo ya maana, Ila imekaa ktk misingi ya kupotosha zaidi kuliko kuwapa watu moyo wa uvumilivu ktk ndoa. Inaigiza maisha ya tamthilia na maigizo wanayotaka wanawake baadala ya kuongelea hali halisi ya maisha na ndoa. Ndoa sio pepo, wala mwanaume sio malaika wa kupatia kila jambo, manake asilimia kubwa ya mada za humu ni kuangalia udhaifu wa wanaume na jinsi ya kuwamwaga kutoka nje ya ndoa pale wanapokuwa na mapungufu. I really dnt recomend thata ktk misingi ya kupotosha zaidi kuliko kuwapa watu moyo wa uvumilivu ktk ndoa. Inaigiza maisha ya tamthilia na maigizo wanayotaka wanawake baadala ya kuongelea hali halisi ya maisha na ndoa. Ndoa sio pepo, wala mwanaume sio malaika wa kupatia kila jambo, manake asilimia kubwa ya mada za humu ni kuangalia udhaifu wa wanaume na jinsi ya kuwamwaga kutoka nje ya ndoa pale wanapokuwa na mapungufu. I really dnt recomend that

  ReplyDelete
 2. Huyo itakuwa anauza HIV kwa nguvu. jamani tuwe waangalifu na watu kama hawa. by mama N.

  ReplyDelete
 3. lazima huyu aliyetoa comment iliyoanza nilazma awe mwanaume tu maana yeye ndio anaona wanaume wanaonewa lakini twafahamu sote kwamba asilimia 90 ya ndoa wanaume huwanyanyasa wake zao japo hakuna mkamilisu lakini wanawake wengi sana wanaumizwa na kulia kwenye ndoa zao.
  ukifikia kuoa ama kuolewa inamaana wewe ni mtu mzima sasa hakuna dogo utakalopitia ukalionea aibu kutoka nje ya ndoa hilo ni changuo la mtu kwani sasa tunaona wanawake wengi sana walioolewa wanatoka nje ya ndoa jambo hili sasa ni la kawaida sio kulazimishwa ama kushawishiwa kama unavyoliita. tusijidanganye na kunyooshea mtu kidole yanayoongelewa ni facts za maisha ya leo.

  mama danny

  ReplyDelete
 4. Nakubaliana na wewe mama dany. Ningeomba usifuate msemo wa Kifo cha wengi ni Sherehe, Kwani wakati wa kukata roho ww ndio mwenye kuifeel hali.
  Tushauriane kutenda mambo meme, Acha kuingia ktk mtandao wa haki sawa kwa wote ambao umejaa Uongo, unafiki na upotoshaji kwa umma. Ningependa ufahamu kuwa utandawazi isiwe nafasi ya kupotoshana, na ukumbuke wanawake ndio waathirika wakubwa wa utandawazi, na athari nyingi ni -ve. Naomba wanawake mkubali kuwa Haki na Usawa kwa watu wa jinsia tofauti kamwe hazitafanana. Mimi ni mtiaji na wewe utabaki kuwa mtiwaji na mbeba Mimba daima. U hv to accept uvumilivu ktk ndoa, na hili ni kwa wote, Wake kwa waume. Eti, mtu anasema, kama vp unatoka nje! Ooh, unaenda kujipooza nje! ASIYE NA AKILI ANALICHUKUA KAMA LILIVYO BILA KUCHUJA

  ReplyDelete
 5. Kuna wanaume wakatili na wanawake pia. Kusema kweli ukitaka ukweli wa mwanamke muulize mwanamke mwenzake. Uzoefu unaonyesha kuwa wakawake ni wakatili kupita maelezo haswa wakati wa kulipiza kisasi. Mtu anauwa kiumbe kilickoko ndani yake unafanya mchezo!! Mwanamke atakunyonya, atataka umgaramie kisa atakupa mapenzi. Waangalie wamama wanachowatendea wenzi wao haswa mwanamume anapokosa uwezo haswa wa kipesa kuendelea kumgharamia, hutaamini lakini wanaume wengi wanauawa na wake zao kwa mateso mbalimbali kama kusimangwa, kunyimwa chakula hata kipigo. Mwanamke ni kiumbe anayekunyonya huku akilalamika kuwa bomba lake ni jembamba anataka kuliongeza ukubwa!!!!
  Wanaumeee !!! Angalia mtaani kwako, kijijini kwako wanaume wanapukutika hasa wa umri mkubwa kiasi....
  Vijana mnaoanza kuweni macho. check attitude of your woman.

  ReplyDelete
 6. Wanawake wote humu ndani ya blog hii, mnatakiwa mkumbuke toka awali hata katika vitabu vya mungu nyinyi ni wasaidizi wa wanaume, hivyo basi ni vizuri kumtii na kumnyenyekea mume wako siku zote. Mnaona mnaonewa kwa sababu ya kuiga tamaduni ambazo kwetu sisi na aina ya maisha tunayoishi hazifai. Hata hao wanawake wa kwenye hizo tamdhilia huwa wanatii waume zao in real life katika namna ya utamaduni wao. kwa hiyo msichanganye vitu hapo, mambo ya jitihada zenu za kutaka kuungwa mkono ili muwaweke wanaume nyuma hatukubaliani hata kidogo.Mnaona mnaonewa kwa sababu yakutaka kwenu kuwa sawa na wanaume, ambayo si sawa.

  ReplyDelete