Tuesday, August 30, 2011

MIYE, YEYE AMA KILA MTU KIVYAKE???????
kuna jambo moja katika kufanya mapenzi dada silielewi na ningetaka kufahamishwa maana kuna sehemu nimepita nikasikia wanabishana wanaume kwa wanawake na nikaona isije miye nikawa mshamba wa mapenzi nikawa bado ninamapenzi ya kizamani kwenye karne hii mpya.


kwenye kufanya mapenzi ni mkifika wakati mnataka kulambana asali mimi kama mwanaume naweza kuvua nguo zangu peke yangu labda mwanamke atake kunivua yeye, sasa upande kwa mwanamke ni jukumu la nani kumvua nguo mimi mwanaume maana naona kwenye huu ubishi kila mwanamke anataka kuvuliwa nguo nami mwanamke wangu huwa na mwacha avue nguo yeye usikute nipo nyuma kimapenzi naomba nieleweshwe, najua maamuzi ni yetu wenyewe lakini hakuna mjanja kwenye mapenzi sote tunajifunza kila siku.


Martin

Reactions:

2 comments:

  1. teh teh teh teh, kazi ni kwako kaka

    ReplyDelete
  2. kwenye kupigana pumbu hakujalishi nani kaanza kumvua/kuvua.vitu vingine ni kutaka kukariri,we fanya vile uonavyo na kama mwenzi wako anaridhika poa.hakuna fomyula hapo.
    Kaka S

    ReplyDelete