Monday, August 29, 2011

HICHI KIUNO MMMHHHH AMA KUNA JAMBO???????

Dada habari,

kwanza nataka kukupa bigup sana kwa jinsi unavyonikuna nikisoma mada zako za hii blog yako, kwakweli zinatufundisha sana na kutufurahisha pia.


jambo langu leo ni hili mimi nina mpenzi wangu ambaye hatujakuwa kwenye mapenzi mda mrefu sana tuna kama miezi tisa hivi, lakini jamani kuna jambo linanifurahisha sana kwa mara ya kwanza nilikuwa naliona la fahari kwangu na jema lakini nilipomdadisi dada yangu akanipa wazo ambalo sikuwahi hata siku moja kulifikiria.


mwanaume wangu huyu ni mtu wa demokrasia ya..... jamani ni mkaa mtanashati sio kwa muonekano tu yani hata kwa moyo, na kitu cha tofauti ni kwamba kijana kwenye sita kwa sita jamani anakata viuno mpaka naogopa yani inafikia mimi kulala tu bila kushughulika yeye namuachia kila kitu kwasababu nahisi hata anakata kiuno kuniliko.....JAMANI kwakweli kama raha anazijuwa maana ananifikisha sana tu kila mzunguko tukienda lazima nifike kilele na ndio nazidi kumpenda siku hadi siku.


kinachonishangaza wanaume wote ambao nimeshakuwa nao hamna aliyekuwa anakata kiuno vile, na rafiki zangu nikiwahadithia wanashangaa sana kusikia mwanaume anayekata kiuno hivyo na ndio mpaka dada yangu akaniambia labda atakuwa (homosexual) sijui kwa kiswahili linaitwaje ila ni mwanaume anayekula na kulikwa.......


sitaki kuamini lakini kile kiuno kinanitatiza japo kuna watu wengine wananiambia watu wa huko ni kawaida yao kukata viuno sana hata kwenye miziki tunawaona, sasa sijui kabisa cha kuamini na kumuuliza mwenyewe nitaanzaje siataniona sina adabu, na ninamkosea heshima sasa nifanyaje???????


Lol

Reactions:

2 comments:

  1. kama kweli unampenda utamlinda, wewe siku zote hizo siulichanganyikiwa na raha alizokuwa anakupa basi endelea tu kupata raha, si mwanaume wa maana na unamuona kamili zaidi ya hicho kiuno labda kwao kafundwa wewe siunaona hata kwenye miziki wanavyokatika sasa unashtuka nini???????? mwisho hao unaowahadithia wataenda kujionea wenyewe.

    ReplyDelete
  2. Ukome kusimulia ya kitandani barabarani, ngoja wenzio waonje hicho unachosimulia kisha utabaki unalia kilio cha mbwa mdomo juu! Hukufundwa kwenu?

    ReplyDelete