Friday, August 26, 2011

NIKWELI LIMAO HUSAIDIA?Rosemary


mimi ni msichana wa africa kabila ni mkikuyu, nimepata bahati kupata muchumba wa kitz, sasa huyu anataka tufunge ndoa na ananitell kwamba tribe yao baada ya kuoa wakati wapo honeymoon aunts zake huja siku inayofwata na kuangalia bedsheet tuliyolalia kama ina damu yani kama ameoa bikra.


seriously nilivyoambiwa nikataka kuhepa kwani mimi si bikra na anajuwa coz na yeye tumesha make love mara nyingi, sasa ananiambiaa tu plan nini ya kufanya aki huyu mtu ananichanganya sana.


juzi amekuja na kunitell ameambiwa na rafiki yake mdemu yani kama nikinawa na lemon kila siku mara mbili kwa miezi kaa sita hivi na bila kumake love inaweza rudi yani siku ya honeymoon nikawa kama ni mara ya kwanza na damu ikatoka.


sasa before i start doing the practise nilitaka kujua kama hii theory ni ya kweli ama nitapoteza tu muda wangu.


Nancy
Reactions:

2 comments:

  1. kurudishia hiyo bikira inakusaidia nini? Na kama kwako bikira ilikuwa muhimu si ungetulia toka mwanzo? kinachokuhangaisha ni nini? mwisho wa siku utakuja kuhangaika kujipakapaka vitu au kunawia halafu utazoa vya kuzoa shauri lako!!!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. hiyo ni rahisi tu na wala usiangaike kutumia vitu ambavyo huwezijua kwamba badaye inawezakukuletea matatizo wewe kwakuwa unajua alikutoa bikira yako ni huyohuyo mwanaume anayekuoa sasa mimi nakuoa maarifa hiyo siku ikifika tafuta damu ya ngombe kidogo ukijua sasa ma aunts wanakuja unachukua hiyo damu ya ngombe kidogo unanyunyuzia lakini katika hilo shuka hakikisha ya kuwa kunashahawa zenu iliichanganyike hii ni rahisi sana na wala isikuumize kichwa

    ReplyDelete