Tuesday, April 12, 2011

WATOTO NI ZAWADI AMA MTAJI????????


watoto ni baraka kubwa kutoka kwa MUNGU, watu tofauti hupata watoto kwa wakati tofauti wengine husubiri hata miaka kumi na tano na zaidi, lakini je pale tunapobarikiwa kuwapata tunawachukuliaje zawadi ama ni mtaji????

je umeshasikia watu wanaotoa watoto wao kafara ili kupata utajiri, ama kudumu kazini? sasa utajiri na kazi inaweza kufikia dhamani ya uhai wa mtu??? wengine wanasema kweli dunia imefika mwisho haswa kama ilivyoandikwa kwenye vitabu vya dini kwamba siku ya mwisho watu watapenda hela kuliko kumpenda MUNGU...

wewe je unalichukuliaje

Reactions:

0 comments:

Post a Comment