Monday, March 14, 2011

UNAWEZAJE KUWAFANYA WATOTO WA MPENZI WAKO WAKUKUBALI KAMA BABA AMA MAMA YAO????


tunajuwa mapenzi hayana mpaka na wala hatujui kesho yetu itakuwaje? inakuwaje pindi pale umependa halafu ukampenda mwanamke mwenye watoto ama mwanaume mwenye watoto?

inakuwaje pale mwanaume huyu anataka kukuoa ama wewe mwanaume huyu mwanamke wako anataka muoane, utaingia vipi kwenye ile nyumba kama mzazi wa wale watoto wa mpenzi wako...

utakaa nao vipi uwashawishi wakupende maana hawa huwenda wakawa chanzo kikubwa cha mahusiano yenu kuzidi ama kupungua upendo...

unawezaje kuwashauri wanaopitia kipindi hicho?

Reactions:

0 comments:

Post a Comment