Friday, June 18, 2010

UNAIJUWA DAWA YA NYONGO?

wenzangu dawa ya nyongo nini maana nyongo imenijaa sana na kinywaji ninachopendelea kutumia ni red wine wandugu wapendwa naombeni mwenye kujua dawa ya nyongo aniambie ni hayo tu

1 comments: