Tuesday, June 22, 2010

MWANAUME WANGU HACHOKI.........

mimi ni mdada na ninamwanaume wangu nileyekuwa naye kwa muda wa miezi sita sasa ninampenda sana lakini kuna jambo linalonitatiza mwanaume huyu jamani hachoki kabisa katika kufanya mapenzi yani kwa siku anaweza kwenda hata mara tano na kesho pia, na hata wiki nzima yeye haoni cha ajabu..

jamani huu sio ugonjwa? huyu mwanaume ni mzima kweli? siku nyengine hata nikiwa katika hedhi anaomba nimpe anachoniambia nikwamba nikanawe halafu yeye atavaa condom ili aendelee, nimemueleza shangazi yangu mmoja akaniambia anaweza kuwa na jini la mahaba kwahiyo ni afadhali tu niachane naye..

kwa kweli nampenda sana lakini hili jambo lake silielewi kabisa, maana mara nyingi mimi nakuwa nimeshachoka nafanya tu kujikaza ili afike kilele na atoke juu yangu, yani mpaka hamu inaisha kabisa...

hili ni nini?

4 comments:

  1. Dada Pole sana,

    Mpe mumeo baada ya muda mkishazoena utakuwa unatafuta wewe, sasa hivi bado anakupenda akishakuchoka utakoma mwenyewe.

    Pia inawezekana wewe ujui mapenzi, mkiwamnafanya mapenzi futa mawazo yote sikilizia jinsi mboo inaingia utaona utamu kwahiyo hata kama akitaka kila saa utampa, jitanue alafu kuwa flexible, kama vile ulivyokutana naye siku ya kwanza. Baada ya tendo nawa vizuri pitisha kidole (kata kucha)

    Alafu usipende kuhuliza ndugu zako mambo kama hayo kwani unamsimamizi wa doa.

    Alafu ukiona mwanamume anapenda kila saa anasehemu ya kwenda. Ni kama masikini na ngono.

    ReplyDelete
  2. Unasikia dada yangu, pole sana kwa hali hiyo inayokukumba, ila dawa yake ni ndogo. wanawake wengi wako hivyo hawapendi mchezo kwa muda mrefu, cha kufanya, Mwambie muwe mnadadilisha style, unamkalia, unainama, chali nk, kisha usiwe unawaza sana kuchoka, kwa kuwa mchezo huo ni kucheza na akili tu. huyo jamaa hana jini mahaba wala nini, hata mimi iliwahi kunitokea mpenzi wangu akawa anakataa kata kata. Pia unapaswa kummuuliza anapenda kushikwa wapi ajisikie raha zaidi, wanaume wengi wakishikwa chuchu za maziwa yao ingawa ni ndogo huwa wanafika kilele haraka sana, kumfurahisha zaidi uwe unanyonya chuchu za maziwa yake atamwaga fasta, pia fanya utafiti wa mwili wake uwe unamshika sehemu atakayowahi kufika kilele, akisha mwaga atachoka tu na kuacha. Vile vile kaeni muongee usitarabu wa mapenzi, si kila wakati unataka kufanya. mwambie hufurahii na usiogope kukuacha na yeye anakupenda.

    ReplyDelete
  3. NYINYI WADADA NI WASHAURI WAZURI ILA JARIBUNI KUTUMIA SITIARI(yaani maneno ya kficha matusi) ATAFAHAMU NA KURUDI KWA MUUMBA WAKE NA KUFICHA SIRI YA NDOA YAKE AU KAMA HANA AIBU MWACHENI TU ATAKUWA NI CHANGU DOA HUYO

    ReplyDelete