Rosemary, naomba niwaulize wana jamii kama wanajibu waniambie ni kwanini kila ninapolewa jamani huwa ninahamu sana ya kufanya mapenzi, hii nikawaida?
Ahsante.
Fatma
Tuesday, June 22, 2010
HAMU YA MAPENZI NIKILEWA....
5:33 AM
3 comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Pole sana, ni kawaida, kuna wanawake wengi sana hupenda mpini wakilewa. Ila jizoeze kufanya mapenzi bila kulewa kwa kuwa ukizidi kufanya umelewa utaingia kwenye matatizo ya kufanya mapenzi bila kinga kitu ambacho ni hatari sana kwako.
ReplyDeleteacha pombe. ukiona hivyo ujue imekushinda hiyo.
ReplyDeleteukilewa unaona utamu sana kufanywa ndio maana ukumbiki kufanywa bila kulewa.acha pombe uwachwe kufanywa.
ReplyDelete