ninatatizo ambalo ningependa mnisaidie picha hizi za X tunazoangalia japo hutusisimua lakini zimenitenda sana mwenzenu...
nina mwanamke wangu wa muda mrefu sasa tatizo ni kwamba siwezi kumpa penzi bila kuangalia movie hizo za X, kila nikijaribu naona mwiko wangu hausimami kabisa hata akinipapasa na kunitomasa wala sisikii hamu mpaka nitakapoangalia hizo movie na kuona mwanaume mwenzangu akishughulika ndipo na mimi hamu inanipata ya kumpika mpenzi wangu...
hili ni tatizo kubwa sana maana siwezi kufanya mapenzi sehemu yeyote isiyokuwa na hizo movie kwasababu sitaweza, hili ni tatizo kubwa sana kwangu nimejaribu sana kujitahidi lakini nimeshindwa, nifanyeje mwenzenu?
Hiyo ni kazi ndogo sana, wala usihangaike kwa madwa ya Hospitali. Kanunue kilo mbili za karanga mbichi, uwe unakuala kwa nafasi ukinywa chai unatafuna, ukijisikia kutafuna kitu tafuna hizo hizo yaani kama una relax, mpaka zitakapoisha, na kwa kipindi unapozitafuna usifanye mapenzi na mpenzi wako kwa wiki mbili hadi tatu. kama haitasimama, basi nenda hosiptali. usijizoeze kuziangalia, kwa kuwa siku ukizaa mtoto utashindwa kufanya kwa kuwa mtoto atakuwa na wewe chumbani na atakuona.
ReplyDeleteHalafu, ukipenda kuangalia, mipini ya wanaume mwenzako ni hatari, ipo siku utatamani uingiziwe wewe, Kitua ambacho ni hatari na cha kudhalilisha kwa sisi waafrica. Achana kabisa na hizo picha
Weka email yako nikusaidie,utapona tatizo lako na hutasumbuliwa tena ila itabidi uache kuziangalia hizo picha.
Deletepole sana kaka kwa tatizo lako ningekua na uwezo ningekutafuta mana nayajua hayo maswala vizuri mno .lakini bado sitaki kuamini kua una tatizo labla jambo moja ni kubadisha aina flani kufanya mapenzi mweleze mpenzi wako usimfiche kitu wmambie kwa sauti ya upole ye2 ni mtu muhimu sana wa kukusaidi 4 more infoz nitafute im REWARD KIHEDU .A COUNSELOR AND THERAPIST ALSO
ReplyDeletePole sana mkuu hiyo inaitwa addiction
ReplyDeleteUnapenda kupiga chabo na ukipata orgies utakufa kwa mzuka, ondoa hayo mawazo kwenye sub concious mind yako, unatakiwa ufanye arfimative kwa kusema I can do it without x movies, au mwiko wangu unaweza kusimama na kukuroga bila x movies repeatedly for a month, kila siku, kila mahala na kila saa utapona. Kungwi
ReplyDeleteKaka pole sana, inaonyesha una element za ushoga. Kama unabisha, wakati mpenzio anakuhangaikia usimamishe, ajaribu kukutia kidole mkunduni... utasimamisha palepale... na pale kwenye movie za X kinachokusisimua ni Mashine za wale masela. maana kama Kuma unayo pale kitandani tena safi kabisa ya mpenzi wako....
ReplyDeletekaka pole sana nadhani unatatizo la spirit nenda kaombewe utafunguliwa
ReplyDeleteJaribu pia kutumia TANGAWIZI mkuu, waweza kutafuna au kuchemsha na kuinywa au kunywa chai iliyotiwa Tangawizi,ukiweza pia kufanya fanya mazoezi ya kutembea tembea kwa miguu kidogo au kuruka kamba na ukaachana na hizo movie! tatizo lako kwisha kabisa.
ReplyDeleteTangawizi tiba nzuri sana kwa matatizo hayo ya ufungupu wa nguvu.