Wednesday, November 19, 2014

Kama na wewe ni waina hii huu mchambo unakuhusu...

 HUU MCHAMBO UTAWAHUSU WENGI AMBAO HAWAJAOLEWA NA WACHACHE WALIOOLEWA WENYE TABIA ZA AINA HII


MWANAMKE UMEKUA NA MWANAUME KWANZIA MWAKA MMOJA MPAKA MIAKA KUMI UBOYFRIEND TUUUUU HATA BARUA HUJATOLEWA, WALA KUTAMBULISHWA RASMI HUJATAMBULISHWA HATA KUONYESHWA GETI LA NYUMBA YAO HUJAWAHI UMEKAA KABISA UNARIDHIKA ETI SIKU TU ATANIOA

HIVI HUSHTUKI WEWE, MWANAUME MIAKA YOTE HIYO HATA HAJAKUTAMKIA KUHUSU NDOA, AMA KAMA UNAPENDEZA KUA MKEWE AMA HATA KAMA UNACHEMBE TU KIDOGO CHA KUMFANYA ABADILISHE MAWAZO YAKE YA KUTOKA UBACHELA KUJA KWENYE KUOA

MARA GHAFLA ANAKUJA KUKWAMBIA NIMEAMUA KUOA KWASABABU WAZAZI WANGU WANATAKA NIOE KABILA LETU, AU WANATAKA NIOE FAMILIA FULANI, KWAHIYO NIACHE NIOE LAKINI MIMI NA WEWE TUTAENDELEA NA WEWE KWA UJINGA WAKO UNAKUBALI ETI CHA MUHIMU MMEJUANA SIKU NYINGI UMESHALIZOEA DYUDYU LAKE UNAWAZIMU NINI WEWE, MBONA YEYE HAJAZOEA KIFUU CHAKO AKAAMUA ATAFUTE DAFU TEKETEKE...MFYUUUU

ULIVYOKUA HUNA AIBU WALA ADABU UNAENDA KABISA KWENYE HARUSI YA HUYO BWANA YAKO ANAYEOA UMEKAA HAPO KWENYE KITI UNAMNYALI MTOTO WA WATU ALIYEOLEWA, HUNAA AIBU WEWE WAKATI MWANAUME ANAKUNYALI WEWE ULIVYOKUWA MJINGA ANAKUTUMIA NA KUKUCHAKAZA, WAKATI KAOA MTOTO MZURI WEWE GUUMEGUME LA KUTUMIKA UPO TU KILA MWANAUME AKITAKA KIFUU UNAKIPANUA TU JAMAA ANACHUKA NAZI ANAITUMIA UNAMPA NGUVU YA KUMFIKISHA MKEWE KILELENI KWAKO ANATANGULIZA KWA MKEWE ANAMALIZA...

UNAMSEMA MSICHANA WA WATU MKE WAKE MWENYEWE HATA SIO MZURI KAMA MIMI KAMA WANAUME WANAFWATA SURA NA WEWE MZURI MBONA MPAKA LEO UMEKUA MAHARAGE YA MBEA UMELIWA UMEACHWA

MARA BAADA YA KUOA MWANAUME SIKU ANAKUTAFUTA OOHH MPENZI LEO NIMEKUMISS SANA TUONANE, SHOGA TENA UKISIKIA TU YALE MANENO KIFUU CHOTE KINALOA, SAWA MPENZI HATA MIMI NILIKUMISS HUJIULIZI KWANINI KAOA NA BADO ANAKUTAFUTA, HUJIULIZI KABAKISHA NINI KWANGU LEO ANACHOKIONA CHA MAANA NA SIO CHA MKEWE, HUYOOO UNAENDA MPAKA GESTI AMA SEHEMU MLIPOPANGA MKUTANE, UKIFIKA PALE ANAKICHOKONOAAA WEWEEE KIFUU KINABAKI CHEUPE KIMEVIMBA KAMA KALIMATI WEWE MOYONI UNAWAZA LEO NIMEMPA HUYU NA MKOMOA MKEWE WAKATI MWENZIO MOYONI MWAKE ANAWAZA NGOJA NIPITIE SEHEMU NIKWANYWE SUPU YA PWEZA MAANA MKE WANGU AKITAKA LEO NIKISHINDWA KUMPA SIJUI ITAKUWAJE

YANI KWAKO ANAKUTAKA KWA TAMAA, MOYONI BADO ANAMTAKA MKEWE KWA HAMU NA KUMUWAZIA ASIPOWEZA KUMTIMIZIA HAMU YAKE SIJUI ITAKUWAJE..

OOHHH TUKUTANE TENA SIKU NYENGINE MPENZI BASI UKIONDOKA NAKWAMBIA UNAENDA KUJIFUNZA KILA AINA YA CHEJO UTAMPA CHEJO GANI WEWE MUME WA MTU ASILOMPA MKEWE HIVI UNAJUA KAMA KULALA NA MTU SIKU 365 NDANI YA KILA MWAKA WALIOPO PAMOJA SIO MCHEZO KAMA NI STYLE KASHAMPA ZOTE ZIMEISHA SASA HIVI BABA ANABUNI STYLE MPYA TU ZA KUMPA RAHA MKEWE KWAHIYO SHOGA WEWE UKIJA NA MPYA USIDHANI UNAMKOMOA MKEWE KAMA MUME KANOGEWA NAYO ATAENDA KUMFUNDISHA NA MKEWE, NA KWATAARIFA YAKO WAKE SIKU HIZI SIO KAMA KAZAMANI WANAJIFUNZA KILA KUKICHA KILA UKISIKIA KUNAFUNDWA AMA SEMINA ZA NDOA WAKE WAPO KIBAO NA PETE ZAO MKONONI KWAHIYO SHOGA UTAHANGAIKA SANAAAAAA.....

ULIVYOKUA HUNA HAYA WALA ADABU KILA KUKICHA OOHHH MIMI MUME WA MTU SIWEZI KUMUACHA, NA LAANA YA MKEWE NA MAOMBI YOTE ANAYOYAFANYA MKEWE KWA MWANAMKE ANAYELALA NA MUMEWE NJE YA NDOA UJUWE HAZIWEZI KUKUACHA KILA SIKU UTAKUA NA MIKOSI, HUTAKAA NA FURAHA KILA SIKU WEWE UTAKUWA WA OVYOOVYO TU, UTADHARAULIKA NA WATU WA KARIBU NA WANAOKUSIKIA..UNAMJUA FATUMA NDIO SI YULE MLA WAUME ZA WATU YANI WAUME ZA WATU NDIO WANAMUWEKA MJINI, SHOGA KWAKO UNAJIONA SIFA NZURI WAKATI HAMNA SIFA MBAYA KAMA MWANAMKE ANAYESHINDWA KUWA NA MWANAUME WAKE AKAMLEA AKAWEKWA NDANI KWA HESHIMA NA KUTUNZWA...UTABAKI KUWA JALALA HIVYOHIVYO WAKUTUPIWA KILA TAKA NYEPESI, NGUMU ZOTE ZAKO SURA MPAKA INAKUFUBAAA UNAZEEKA KWA KUBEMBELEA VYA WATU..

MTOTO WA KIKE NYEGRYEEEE HAZIKUISHI KILA SIKU, UNACHEKACHEKA TU KILA SAA UKIONA WANAUME HUISHI KUSHOBOKA, UKITEKENYWA KIDOGO TU HATA KAMA UNATANIWA UNAJIPELEKA MPAKA GESTI, NYEGRYEEE ZITAKUISHAJE WEWE WAKATI MWANAUME WAKO HUNA HATA WA KUZUGIA UNAGANDANA NA WA WATU TU, WATAKUMALIZAJE NA UNAWINDA UNASUBIRI LEO NA MKEWE HAVIELEWEKI UKAPEWE JAPO CHA JUU JUU, AMA MKEWE KASAFIRI NDIO PONEPONEA YAKO UTAMBANA MWANAUME MPAKA SAA SABA USIKU..POLE SANA

MIMI NAKASIRIKA SANA KUONA WANAWAKE WANAOJIRAHISISHA KWA WAME ZA WATU YANI NAKASIRIKA, TENA WANANIJUA MARAFIKI ZANGU IKIFIKA HIZO ISHU HATA KAMA WEWE SHOGA YANGU USHOGA UNAISHIA HAPO SIPENDI KABISA UJINGA, KAMA WEWE UNAJIONA MZURI SANA SIUNGEMUDU WA KWAKO PEKE YAKO KWANINI UDANDIE GARI UMEKUA KONDA???

YANI KWA HIZI SIKU MUNGU ALIZONIPA HUMU DUNIANI, SHOGA UTAISOMA NAMBA YANGU JAPO KWA KUZIPAPASA NITAKUCHAMBAA NA TABIA ZAKO ZOTE, NITAKUA BEGA KWA BEGA KUIMARISHA NDOA ZOTE ZA WATU KAMA NYIE MNAOTAKA KUZIBOMAOA, HAZIBOMOKI NA HATA KAMA KWA TALAKA ATATOA MOJA YA KUPEANA NAFASI TATU KWA ANEYEPITA HUMU HAKUNA.. NA HATA KAMA ULIACHIKA KABLA YA KUNIJUA BIBI UTAPATA PENGINE UTADUMU, NA HATAKAMA HUJAPATA UTADUMU NA USINGLE MAMA WAKO, HUTAKUWA CHAMBO LA KUPITIWA KULIWA URODA OVYOOOO...

KAMA HILI LAKO LINYWE, KAMA LA SHOGA YAKO MPELEKEE HABARI ZAKE, KAMA LA WIFI YAKO HATA KWA SIMU FANYA KAMA UMEKOSEA NAMBA ZIMFIKIE, UKISHAKUNYWA LIKUSUKUTUE MWILI UKALIKOJOE CHOONI...NUNA LIA PASUKA HABARI NDIO HIYO, SEMA, CHAMBA, TUKANA, LIA, NYALI..UJUMBEE UKUFIKIE MAHALI ULIPO.

 HAHAHAHA HALOOOO NGOJA NITEME MATE JUU MIYE CHINI YATAKAUKA UPATE KUYASIGIDA..

****END*****

Reactions:

0 comments:

Post a Comment