
Nitakuwepo pia kuongelea mengi kuhusu ndoa zetu na mahusiano yani msiache kuja kwa wingi tuonane tusaidiane kutatua matatizo ya ndoa zetu naamini utakavyoingia ni tofauti na utakavyotoka.
Huku mkiendelea kujiandaa kucheza kibao kata Mwezi wa Tano 2015 MUNGU baba akitujalia uhai, lakini najua wengine mnaona huko mbali ndio maana nawaambia msikose hii event maana napo nitawasha moto nikiwa na wenzangu wa kazi mtafurahia...
Tukutane siku hiyo MUNGU akipenda
0 comments:
Post a Comment