Wednesday, June 4, 2014

Ndugu wa mume wakwe, mawifi na mashemeji...

KWANZA KABISA LAZIMA SISI KAMA WANAWAKE TULIOOLEWA KUTAMBUA YA KWANZA HAWA WATU WAMEKUA KATIKA MAISHA YA WAME ZETU KWA MUDA MREFU SANA KULIKO SISI..KABLA YA KUOLEWA

NA PIA NA WAO WANATAKIWA KUTAMBUA KWAMBA SISI TULIOOLEWA NA KAKA ZAO NDIO TUTAKUA KATIKA MAISHA YA KAKA YAO KWA MUDA MREFU SANA UJAO MUNGU AKITUBARIKI KUTUPA UHAI

HAPO NI 50/50...WEWE UTANIAMBIA NINI MUME WANGU ALIFANYA MAIAKA KADHAA ILIYOPITA KUHUSU NGUO ZAKE LABDA ILA MIMI NITAKWAMBIA NITAKACHOMFANYIA MAANA NDIO NINAYEMPANGIA NGUO GANI AVAE NA IPI INAMPENDEZA...INSHORT I RUN HIS LIFE FROM THE DAY WE SAID I DO MPAKA THE DAY WE WILL SAY GOODBYE

NAANZA NA MAMA WAKWE KWANZA KABISA NATAKA KILA MAMA HAPA AKUBALIANE NA MIMI KWAMBA KWA MTAZAMO WAKO HAKUNA MTU ANAYEWEZA KUMLEA MWANAO VIZURI KAMA WEWE ULIYEMZAA

HII NDIO MENTALITY YA MAMA WAKWE WENGI NA NDIO MAANA WANAKUA SO PROTECTIVE IKIJA KWA WATOTO WAO, YANI HATA KAMA MWANAE KASHAOA LAKINI BADO ATAMCHUNGUZA HUYU MWANAMKE ANAMLISHA VIZURI MWANANGU, ANAMPENDA MWANANGU, ANA MJALI MWANANGU YULE BABA AKIAMUA KUPUNGUZA UZITO MAMA YAKE AKIMUONA MAMA CHA KWANZA BILA KUULIZA ATAANZA KUONGEA MWANANGU ANATESEKA MKEWE SIO MZURI ONA ALIVYOKONDA...KUMBE BABA WA WATU ANATAKA TU APUNGUE NA YEYE AWEZE KUVAA MODO AWE NA YEYE KIJANA WA MJINI

NAKUJA KWA MAWIFI MAWIFI WENGI SANA HUWA NA NYODO KWA NINI HAWA NI MARAFIKI WAKUBWA SANA WA KAKA ZAO AWE MDOGO AU MKUBWA HATA SIKU MOJA KAKA YAO KABLA HAJAOA ALIKUA ASIONE TATIZO KWA DADA YAKE NA KUSHINDWA KUMSAIDIA, AMA WALIZOESHWA KUTOLEWA OUTINGS NYINGI NA KUPEWA VITU VIZURI SANA NA KAKA ZAO..SASA KAKA ANAPOOA NA KUPELEKA YOTE MAZURI KWA MKEWE MAWIFI NDIO WANAANZA KUONA WIVU NA KUANZA NYODO, WATAKUTAFUTIA SABABU NDOGO TU KWA MFANO UKICHELEWA KUBEBA MIMBA WATAKUCHAPIA HIYO FIMBO AU INAWEZA AKAWA AMEKUJA TU KWAKO ATATAFUTA TU KASORO NDOGO TU NDANI YA KWAKO YA KUKUTANGAZIA UGOMVI NA WANANDUGU WENGINE BASI TU WIVU

NAKUJA KWA MASHEMEJI MASHEMEJI WAO NDIO MARAFIKI WA KUU WA KAKA YAO AMA MDOGO WAO AMBAYE NDIO MUMEO HAWA HUWA PAMOJA MARA NYINGI KWENYE STAREHE NA MIZUNGUKO YA MAISHA MASHEMEJI WENGI HUWAGA HAWANA MATATIZO KWAKUA NA WAO WANAWAKE NYUMBANI WA KUWAPA HEKAHEKA LAKINI PIA KUNA WENGINE WANAPENDA SANA KUCHOKONOA MAISHA YA WADOGO AMA KAKA ZAO WAPO WENYE MAJUNGU KAMA MAWIFI

UTAFANYAJE.....

LAZIMA UJITAMBUE WEWE NI NANI KATIKA MAISHA YA MUMEO, WEWE NI NANI KATIKA KUMUUNGANISHA MUMEO NA WAZAZI WAKE NA WEWE NI NANI KATIKA KUMUUNGANISHA MUMEO NA DADA NA KAKA ZAKE

KWA MFANO MIMI KWA MUME WANGU WAMEZALIWA SITA NA WOTE NAKAA NAO TUMEJENGA WOTE SEHEMU MOJA TUNAINGILIA SEHEMU MOJA NA KUTOKEA SEHEMU MOJA KWAHIYO MUDA WOTE TUNAONANA WAO NA FAMILIA ZAO NA MIMI NA FAMILIA YANGU

CHANGAMOTO NI NYINGI SANA KUISHI NA HIVI VIUMBE CHA MUHIMU USIWAINGIZE SANA KATIKA MAISHA YAKO NA MUMEO NA WAKIJA KWAKO LAZIMA WATAMBUE HAPO NI KWAKO HATA KAMA KODI ANALIPA KAKA YAO

LAZIMA WAISHI KWA MATAKWA YAKO, UKIMUENDEKEZA KISA WIFI AKIAMKA ASUBUHI ASIFANYE KAZI ZOTE AFANYE DADA UKIZANI UNAMJALI MWENZIO ATAENDA KUKUSEMA UNAROHO MBAYA KAZI ZOTE UNAMUACHIA DADA...MPE NA YEYE BWANA UKIAMKA ASUBUHI DEKI AU PIKA DADA ATADEKI NIKIJA JIONI NITAPIKA MIMI

MAMA MKWE UNAMPA ZA KIAINA MAMA LEO WAJUKUU WAKO WANATAKA UWAOGESHE (KAMA SIO MZEE SANA) YANI ISHI NAO KAMA FAMILIA YAKO WALIOKUZAA USIOWAOGOPE WAHESHIMU TU

SASA WALE WENYE KIDOMODOMO HAO MAWIFI WEWE WAFUNGIE DIRISHA FANYA YAKO NA MUMEO AKIONGEA LIINGIE SIKIO HILI LITOKEE LENGINE ILI UISHI VIZURI TENA AKIJA HUBBY WEWE NDIO HUNA HABARI UNAMPIGA NA MABUSU MBELE YAO HASHUO LIWASHUKE

UTAKAPOAMUA NA KUJIJUA WEWE NI MKE NDIO THE LEADING LADY KWENYE MAISHA YA MUMEO BASI HAO WENGINE WAKIKUONA WATA BOW DOWN TO THE QUEEN...

YANI MIMI NDIO HAWANIPI PRESHA WEWE ONGEEAAA TUKANA NISEMEE CHAMBAAA VUTA MDOMO UKINIONA MIMI MUME WANGU AKIJA CHUMBANI NAJIFUNGIA NAYE NAMPA MAHABA YA PWANI NIKITOKA HUKO MWEUPE MTOTO WA WATU...WEWE ENDELEA KUZEEKA NA NYEGE ZAKO ZA KUTAKA MABAYA YAMTOKEE MKE WA KAKA YAKO WAKATI WEWE HATA MUME HUNA...

MFYUUUUUUUUUUUU sonyoooooooooooooooo la kinigeria

******END*******

Reactions:

0 comments:

Post a Comment