Tuesday, May 27, 2014

NIMEITOA SEHEMU...

Wanawake walio wengi wanampenda sana na kumuheshimu mwanaume mpole,asie kicheche na asie mcharuko bila kujali hali yake kifedha. Wakidai kuwa,kitendo cha mwanaume kutokuwa kicheche kinatosha kumfanya mwanaume huyo kuwa mume bora zaidi.
Wanawake wanadai kuwa,mwanaume huyu si mkali,hata mkewe akichelewa kurudi hamfokei wala kumuuliza kwa nini umechelewa,pia mwanaume huyu anamsikiliza sana mkewe.,kila anachokiongea mwanamke mumewe hukifuata na kuona cha msingi.
Lakini cha kushangaza ndoa nyingi zenye sifa kama hìzo au zinazokaribiana,wanawake hutoka nje ya ndoa,sijui ni kwa nini. Ila nadhani kuna kitu kimejificha kwenye hilo.
Nilivyokuwa najua mimi ni kuwa wanawake huwapenda zaidi wanaume wanaowasikiliza na kuwaunga mkono hasa kwenye mambo yao lakini naona kama nilikuwa najidanganya.
Wanawake mnataka mtu wa aina gani?
Kuna wakati jamaa yangu mmoa aliwahi kuniambia kuwa kama unataka mwanamke akuheshimu mgegede vizuri LAKINI KUNA WALIOFANYA HIVYO WAKAAMBULIA VIBUTI.
Kuna wengine wanaamini kuwa,ili mwanamke akuheshimu ni kuwa na pesa,lakini tunaona kila siku AKINA SHAMBA BOY wakizisambaratisha ndoa za mabosi wao.
Kuna wengine wanadhani UHANDSOME ndio komesha lakini ukweli ukweli kila mtu anaujua,kuchapiwa ndo chakula cha mchana na jioni.
WANATAKA NINI HAWA WATU???

Reactions:

0 comments:

Post a Comment