Tuesday, May 27, 2014

MWANAMKE MWEREVU.

1.Unaamka yeye kashaamka na kusema "baby amka maji ya kuoga yapo bafuni"(mwanamke adimu sana)
2.Unajiandaa kwenda kazini khaa,nguo zishapigwa pasi(jamani hiyo kazi kafanya saa ngapi?unajikuta unaenda kazini upo kwenye daladala kimoyo moyo unamwambia "I love u honey"
3.Unarudi jioni unakuta anakuvua soksi acha tu hujui hata anazifua saa ngapi maana huwa hujui anazifua saa ngapi?
4.Umejipunzisha kwenye kochi au
Au kitandani mara kakukalia
Mgongoni anakufanyia mesaj
Mgongoni,khaa alijuaje unataka
Ufanyiwe masaj?unaishia kusema
Thanks baby.
5.Kila anachotaka kufanya kujiendeleza anakuambia na unaweza kumpa mtaji mana ni mkweli(ni baraka kwenye familia)
6.Anapenda ndugu zako(siyo mama mkwe akija anasimamisha pua juu kama kitimoto)
7.Anakupa moyo kwenye wakati mgumu,mf,umefukuzwa kazi anakushauri (baby hayo ni maisha tu,usijali utafanikiwa kama vipi tusimamie ule mradi wangu mpaka uajiriwe)khaa jamani yupo kama huyu fb?upareni?uchagani?usukumani je?
8.Ukirudi nyumbani unakuta anamfundisha mtoto wako maadili ya kimungu(wow heri tuzae tu wa pili)
9.Anakufariji.(Baby usiogope ni mapito ya dunia,jikaze mme wangu,nipo upande wako),hehhehe hata ukinuna unabembelezwa.
10.Mwenye kushukuru na suprises,hawezi kukusahau,(baby hii zawadi kwa ajili yako,umenisaidia sana mme wangu,you changed my life,""baby leo birthday yako,khaa unaona keki mezani"),kuna mke kama huyo?
11.Ana uhakika mimba yako ("baby nina suprise,kumbe mwezi uliopita ulinipa toto,nina mimba yako(siyo ooh khhaaa tumefanya mapenzi juzi tu umenipa dragon mwingine)

0 comments:

Post a Comment