Thursday, March 13, 2014

Jamani Jamani Jamani, yani sijui kwanini kwenye ndoa ukipata mke katulia mume mcharuko, mume katulia mke mcharuko....

Jamani kwakweli nasikitika sana, kuna kaka mmoja ameao mkewe ni mzuri sana yani anaumbo na sura kama mnyaruanda..ni mzuri sana

huyu mumewe na yeye sio mbaya anakazi yake nzuri sana ambayo imemfanya ajenge nyumba nzuri sana ma kuwa na magari mazuri sana hata mkewe anatembelea harrier yani wanamaisha mazuri sana ambayo kila mwanamke anataka apewe akiolewa

lakini mwanaume huyu hafurahii kabisa maisha yake ya ndoa analalamika mikewe ni malaya sana yani sijui kwanini mwanamke hatulii na mumewe na isitoshe mpaka anamuonyeshea mumewe

halafu wanaume wenyewe anaokuwa nao mkewe yani ni wa kawaida watoto wadogo yani mwanamke yeye ndio anachukua hela anazopewa na mumewe na kwenda kuwahonga hao mahawara zake

mbaya zaidi mumewe anachosikitika hata usiku wa manane anapigiwa simu na hao mahawara na anaongea nao kimapenzi mumewe akiwa amelala pembeni yake bila hata kuogopa wala kumuheshimu mumewe

na isitoshe akipigiwa simu hatakama yupo juu ya kiuno cha mumewe anapokea na kama anaitwa anashuka ananawa na kuondoka anamuacha mumewe kitandani awe amefika kileleni hajafika hiyo sio shida yake anamuwahi hawara

mumewe anasema anaumia sana lakini anamvumilia sana mkewe kwakuwa anajua anampenda labda ipo siku atabadilika lakini anaona kila siku maumivu yanazidi vituko vipya kila mara

kuna kipindi wakati anataka apewe mzunguko usiku ile anamuandaa mkewe ili amuingilie akaona ukeni kwa mkewe shahawa zinatoka, yani mkewe alitoka kupewa mechi ya nje nadhani hajui kunawa vizuri akaja na kumpa mumewe matokeo yake akadharilika shahawa badi zinatoka ukeni

mumewe akamwambia tu mkewe akanawe na wakalala...

mumewe anaumia zaidi pale mkewe anapoamua kutoka na wanaume wanaomfahamu mumewe anasema yani kuna mkaka alikuwa ananilia mke wangu na tunafahamiana sana ilibidi nimfwate jamaa na kumuomba tafadhali naomba uniachie mke wangu

yani inasikitisha sana ukisikia hii story, lakini naamini siku huyu baba akichoka huyu mwanamke atajuta...

****END*****

Reactions:

2 comments:

  1. watu tunatafuta wachumba tunakosa, huyo kampata mume anamjali anamchezea mhh, jaman, hata kama hamridhishi c wayajadili tu, na amwambie anataka afanyiwe vp na mumewe, jaman wanawake sisi ndo nguzo ya familia jaman, huwez kuwa hivo alaf wajiita mke wa mtu mhh.
    Mungu msaidie hyo mwanamke abadilike na agundue ye ni nan kwa mumewe, na mume pia asimchoke, maana mwanaume akichoka ehhhh, utataman ardhi ikufunike mbona

    ReplyDelete
  2. alphonceambonisye@gmail.comMarch 24, 2014 at 6:21 AM

    Huu ni udharirishaji! Sasa huyo mwanaume inaelekea zoba, maana hakuna mwanaume rijali, aliyekamilika na anayejua maana ya maisha akaendelea kubaki na huyo mwanamke, akimletea au ukute keshamletea ukimwi. Dawa amtenge amrudhishe kwao wakitaka kurudiana wapime. Kupenda mpende mama mzazi alikuweka tumboni miez6 sio huyo unampenda anakugeuza teja wa mapenzi. Ningekuwa mie ningemfukuza maana inaonekana kunguru hafugiki huyo. Tupa kule tafuta aliyetulia, we si unaona dada hapo anasema wengine wanatafuta waume wa kuolewa nao wakat yeye anachezea ndoa. Mshenzi na ukute hadi anafirwa huko nje maana wenye tabia hizi huwa malimbuken na kuiga mambo hovyo.

    ReplyDelete