Thursday, November 28, 2013

Hatareeee...

  Hahahaha starehe ya mwili raha ya ndoa, jamani tarehe 9/12/2013 ndio hiyooooo imekaribia kufika, ushalipia ticket yako kufundwa mambo ya chumbani makungwi wa tatu ukumbi mmoja ushawahi kufundwa na kungwi mwanaume, hahaha ndio uje ujionee mauno yake kitandani..itakuwa sikuku ya uhuru hakuna kazi tutafurahi na kujifunza pamoja ni palepale majestic hall sinza kwa remmy kwanzia saa 1:00jioni mpana saa 3:00usiku kwa kiingilio cha 35,000/- unapewa dera lako la kuvaa siku hiyo, chakula na vinywaji..
Siye waswahili, micharuko, ndembendembe kila kitu kinachofanywa ukumbini kinabaki ukumbini, haturuhusu picha wala video na natumaini wote ni watu wazima sio uone mtu anakata kiuno kavua nguo ukaanza kupiga mayowe..mbona wewe ukivuliwa unafurahia kitandani...haloooooooo chezea waswahili siye
kwa kulipia ticket yako nipigie 0717 019320 - Rosemary Mizizi

Reactions:

0 comments:

Post a Comment