Sunday, September 22, 2013

NYUMBANI KWETU GROUP IN FACEBOOK...

Jamani wapendwa kuna wengine wanaweza kucomment humu kwenye blog lakini kuna wengine wanashindwa, sasa basi tuna group yetu facebook inaitwa NYUMBANI KWETU nimeshindwa kuitwa mwanamke na nyumba maana nyumbani kwetu tupo wote wanawake na wanaume karibuni sana, nitakuwa naweka na post za humu chache mule zile nzito sana ili tuzijadili kwa pamoja...na kuna mambo mengine mengi sana yatakayoponya ndoa yako, uchumba wako na nyumba yako kwa ujumla..

Reactions:

0 comments:

Post a Comment