Tuesday, July 23, 2013

Msaada Tutani...

za leo dada,
mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 27, nimeingia kwenye mahusiano hivi karibuni tatizo langu ni kwamba nikifanya mapenzi baada ya siku moja naona mbegu za mwanaume zina toka katika sehemu zangu za sili inaweza kuchukua siku tatu zikiwa zinatoka kidogokido je hili ni tatizo gani au ni kawaida kwa wanawake wote naomba unisaidie hili tatizo linaninyima raha sana.