Wednesday, June 5, 2013

Tafakari..

Katika ndoa ni wanaume wengi sana siku hizi wanaupungufu wa nguvu za kiume, labda kutokana na majukumu magumu walionayo ndio maana wengi wakifika nyumbani wanashindwa kabisa kwenda mzunguko zaidi ya mmoja.

Ukiwa kama mke wa huyu jamaa najuwa utakuwa unaumiza sana kichwa huyu baba kabla hajanioa alikuwa active kwanini habadilike lazima atakuwa na mwanamke nje, unaanza kumsaka sasa huyo mwanamke nje unajikuta unaumiza kichwa na kuumia moyo labda ni kwavile mume anashindwa kukwambia mkewe kwamba anachoka sana na anashindwa kuendelea na mzunguko wewe basi unabaki roho juu nyumba haina amanai.

Kama mke mumeo anatatizo kama hilo unajuwa nini cha kumfanyia, na unajuwa nini cha kumpa basi usikose mafundo 7/7/2013 tutakuelekeza yote hayo na mengineo mengi usikose siku hii

Ndoa ni mpango wa MUNGU ili wewe na mwenzako mfurahiane, usikubali ndoa yako ikageuka kuwa adhabu yako njoo tukutane siku hiyo tuzungumze.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment