Thursday, June 13, 2013

Mafuta ya ndimu....

Mafuta ya ndimu ni mafuta mazuri sana katika kufanya usafi kwenye mwili wa binadamu na haswa kwenye makwapa makwapa ni kilio cha watu wengi sana ya kwamba wananuka jasho kama na wewe unatatizo hili tafadhali tafuta mafuta ya ndimu umwe unapaka kwenye makwapa husaidia sana kuondoa harufu ya kikwapa kama hujui utayapata wapi basi unaweza kunitafuta nikakuuzia.

Wanaume wengi sana hutoa harufu kwenye uume haswa zile sehemu za vigololi kwa chini huwa kunavinyweleo ambavyo hukusanya jasho na kutengeneza harufu kali hebu jaribu kujichunguza wewe mwanaume au mwanamke jaribu kumchunguza mumeo/mpenzi wako na kama umegundua hilo basi dawa pia ni hayo mafuta ya ndimu utayapaka vizuri kwenye hizo sehemu kama unavyopaka mafuta na itakata hiyo harufu kabisa.

Mafuta haya ya ndimu yanauzwa 10,000/= yapo sealed kwenye kichupa kidogo ukihitaji nipigie simu 0717 019320 utayapata.

Kwa maujuzi hayo na mengine mengi ukiwa kama mke uliolewa usikose tukifunda 7/7/2013 pale Majestic hall sinza kwa remmy kwanzia saa 5:00 asubuhi mpaka 12:00jioni kwa kiingilio cha 30,000/= tu lipia nafasi yako sasa..

Inahusu nini bibi mumeo akivua nguo ugeuze sura pembeni au tushindwe hata kukukumbatia tukikuona...hahahaha halooo aihusu shoga

Reactions:

0 comments:

Post a Comment