Wednesday, June 12, 2013

Lishe ya baba na mama...

Unashangaa ndio au ulidhani lishe ni kwa mtoto tu, hahaha hapana kuna lishe ya baba na mama ili mnapotumia vyakula hivi mpate nguvu ya kujiweka sawa.

Katika mafundo ya 7/7/2013 wanawake mtafundishwa vyakula mbalimbali ambavyo haitakiwi wiki ipite wewe hujapika nyumbani kwako, huwasaidia wewe na mumeo katika afya na mzunguko unajuwa ni vyakula gani basi usikose siku hiyo..

Reactions:

0 comments:

Post a Comment