Thursday, June 6, 2013

Khadija Kopa - Full Stop..chezea watu na wame zao weye....

Wamekata kona wamekubali penalty..hehe heiya

Nimeanza na mizizi penzi si la mwaka jana hatukuingia juzijuzi jiji la Dar es Salaama, tumelipandia ngazi tukashusha na milima...

Full stop wote kimya...acheni kelele na siruhusa kujitetea, ole wenu mnaopita njia za panya kunifwatilia mimi ni komando wa kike halahala nitawalipua...

Tena nalipa bishosti wa ukweeehh na ninajuwa kunengua, kanipenda kanizimika kweli na haswa pale ninaporembua..haloooooooo

Sasa wezi wa mabwana nawaambia nitawachakachua, nawapa onyo full stop hii ni challenge full gear...

Nyie type zenu za vichochoroni ndio zinazowafaa sio wangu chumba na varanda tena ghorofani nampandia

Heri kuvaa kandambili kulio mdundo mbovu

Hapa kwangu mmechemka ninaladha tamu sana ndio maana hataki kutoka, hata mje na waganga lorry zima himaya yangu keshafika, mlilie mizimu na makafara na mchinje hata paka..haloooooo lako hilo

Allah unajitapa unalipa utafuti wako ukamuweka..wewe huwezi milki yangu baby cute wa kiafrica kwanza nipo peke yangu nimetulia na mume wangu mtoto wa uhakika..sweety jaffari ally mtoto wa kikwere..hehe heiya

POLE SANA KHADIJA KOPA...


Reactions:

0 comments:

Post a Comment