Thursday, May 2, 2013

Mwanamke na Ndoa yako..

Jamani wapendwa kuelekea siku hiyo ya mwezi wa saba kuna wamama wengine wamenishauri ya kwamba niifanye mchana ili na wengine ambao hawapewi visa za usiku waweze kuhudhuria, bado natafuta ukumbi mzuri ambao tutaupata kwa tarehe 6/7/2013 maana majestic siku hiyo wana shughuli kwahiyo nitazidi kuwataarifu juu ya hilo na nikikosa kabisa labda tuifanye 5/7/2013 ambayo ni ijumaa mkitoka makazini mje moja kwa moja wamama ama vipi? bado naangalia tufanyaje mpaka wiki ijayo nitakuwa nina jibu kamili wapendwa ili iwe urahisi kwa wanawake wote wenye ndoa zao kuja kujumuika..


Haloooooo ndoa sio nywele kila mtu anazo na ukiipata unatakiwa kuigharamia bibi..ushanisoma eehee hehe heiya

Reactions:

1 comments:

  1. nahitaji jimama nilipe mapenzi ya ukweli.. aliye tayari anitafute..

    ReplyDelete