Thursday, May 23, 2013

Kisa kingine cha Mahouse gals....mmmhh hatareeeeeeee

Basi kuna mdada huko sitamtaja jina naamin watu waweza mtambua aliagizaga housegal mahali akaletewa sasa mume wa huyo dada si mtembezi ni wale waume ambao akitoka kazini yuko home akitoka home yuko kazini......
yule baba alikuwa mnywaji wa pombe lakin ananywea home huku anaangalia tv...mama mwenye nyumba yeye alikuwaga anachelewa kurudi kutokana na majukumu ya kikazi.....sasa bwana.....bi housegal akaanza mbwembwe mume wa mwenzake akikaa kuanza kujinywea bia na yeye anafungua friji anavuta story anakaa karibu na hubby anakunywa bia.....mume akaona mmmh huyu bi dada kulikoni tena....lakini hakumsemesha sema wanakuwa busy kama wateja walokutana bar...kila mtu na bia yake......
housegal akaona hàitoshi akaànza kuwa mara analegeza kifungo cha shati au anavaa ka gauni kepesi alafu kila bia ikiisha anamfungulia mwanaume nyingine yaani akajiari uweitres mweee mbaba vikamshinda akamwambia mkewe sitaki hii mbuzi ndan kwangu.....mké hapana mme wangu anafanya kazi vizuri na kweli alikuwa mchapa kazi haswaaaa.........


mume akagoma sasa akasemma kama hutaki naondoka mimi ndo akakubali haya mdogo wanngu ondoka.......msichana wakati anapanga nguo mama mwenyenyumba akamfata kumpa pesa na kumuaga.......binti akasema na una bahati ungechelewa kidooooogo ungeondoka wewe....heee mama sindio kashangaaa

kumbe bi dada ni mshirikina wa kutupwa kuna kadada kalikuwa kanamsikia anaongea na simu saaa babu mbona nafata maelekezo yako lakin mtu mwenyewe haelekei nimefulia dawa kwenye nguo zake nimefanya kama ulivosema babu lakin holaaaa...............kumbe mwanaume harogeki yuleeeeeee

Kumbe msichana wa kazi alikuwa anataka kumloga baba achukuliwe yeye kuwa mama mwenye nyumba na mkewe afukuzwe.

Mariam

Reactions:

0 comments:

Post a Comment