Thursday, April 11, 2013

Siku zimekaribia......

Mashoga zangu siku ndio hizo zinakaribia umeshalipia nafasi yako kwa ajili ya kufundwa kama bado lipia sasa 30,000/- unapewa na dera, chakula na vinywaji kwa raha zako ni 26/4/2013 Majestic hall sinza kwa remmy kwanzia saa 10:00jioni mpaka 5:00usiku ukitoka huko mwanamke umeivaa tayari kwa kuliwa..hehe heiya chezea maujuzi weye...kwa malipo nipigie 0717 019320

Reactions:

0 comments:

Post a Comment