Wednesday, March 27, 2013

Zabibu kavu................

leo wapendwa nataka tuongelee zabibu kavu najuwa wengi mnazijuwa mara nyingi hutumika katika kupikia vya kula na mara nyingi sana huzila katika keki au mikate, lakini je unapofurahia kula zabibu kavu na utamu wake unazijuwa kazi zake mwilini...haloooo shoga najuwa wengi mlikuwa hamjui na mimi wala siwaambii mpaka mtakapokuja kufundwa ndio muyasikie wenyeweeeeee

Na wanaume pia muwaambie wake zenu/wachumba/na mademu zenu pia waje wapate maujuzi 30,000/= tu shoga anapewa dera akilivaa tu anakumbukia yote aliyofundwa ni tarehe 26/4/2013 Majestic Hall sinza kwa remmmy 

Aliyesema mzunguko adhabu nani bila maujuzi utauona adhabu lakini ukijijuwa shoga wewe muda wowote jamaa akitaka mechi unampa number..hehe heiya chezea waswahili siye.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment