Wednesday, March 13, 2013

Msaada Tutani..

Dada Rose.

Mimi ni kijana wa miaka 32 sijaoa ila ndio nafikiria kwenda kuona wazazi wa mwanamke wangu kwa ajili ya kuoa, mpenzi wangu sasa tupo pamoja mwaka na hatujawahi kukutana kimwili sio kwamba yeye hapendi hapana ila mimi ndio nimeweka kikwazo nikamwambia kwamba asubiri mpaka tutakapofunga ndoa na wala hakukataa tena alishangaa sana kusikia hayo maana anasema siku hizi huwezi kumpata mwanaume wa aina hiyo labda awe anaijuwa sana dini.

Dada ila sababu ya mimi kumwambia hivyo mpenzi wangu ni kwamba naogopa ataniacha kwa kuwa huko  mwanzo kila mwanamke niliyekuwa naye nikishakutana naye kimapenzi baada ya muda ananiacha ni kwasababu nina uume mkubwa sana yani dada ni mrefu halafu menene hata kubaa suruali saa zingine napata tabu inabidi nivae na boxer zinazonibana ili paonekane padogo.

Naogopa sana kwenda kwao kwani naogopa nisije nikamuoa halafu akanikimbia siku chache zijazo tafadhali naomba unishauri dada nifanyaje hii hali inanikosesha raha sana.

Reactions:

3 comments:

 1. duh kaka angu kwanza hongera kwa kujaaliwa, kwasisi waislam tunasema mashaallah. Akikukimbia kwa hilo nitamuona huyo mwanamke hana akili maana wenzao wanazitafuta kama hizo, na ww usijiinamie , wenye vibamia wanatamani wawe nayo kama hiyo. Mm nishaolewa ila nashkuru hana kibamia, hahahaha.

  ReplyDelete
 2. Kaka uke wa mwanamke ni kama rubber band hutanuka na kusinyaa fikiria jinsi uke unavyoweza ukatoa mtoto na baadaye ukarudi hali yake ya kawaida.
  Hivyo unavyofanya kutompa mzunguko mpaka ndoa kisa unaogopa kuachwa ni mbaya zaidi sasa hata baada ya ndoa akiamua kuondoka utafanyaje? ni bora umwambie ukweli na umuonyeshe mwenyewe atajuwa kama anaumudu ama hapana lakini katu usiingie kwenye ndoa bila kumuonyesha, na ndio maana mimi huwa nawashauri wanawake kama hawataki kufanya mzunguko mpaka doa ni bora japo akauangalia huo mwiko kama utamfaa kusonga ugali asije akazani ni mwiko wa ugali kumbe wa ubwabwa ikawa tabu mbeleni

  ReplyDelete
 3. MIYE NISHAOLEWA laikini mbona isikusumbue maana hata mume wangu analo kubwa kuliko lako wewe na lote linaingia jambo la busara fanyeni mazowezi kidogo kidogo mpaka azowee likiingia lote siku moja tu atakuuliza bado limebaki ?kwa hivyo wasiwasi wako wa bure sisi wanawake tumejaaliwa ur

  efu wa pima 12na nyinyi wanaume pima nyinigi ni 9 tu kwa hiyo wewe isikupe shida yatakaa sawa tu hayo

  ReplyDelete