Wednesday, March 13, 2013

kwenye mafundo..

Siku hizi bwana wanaume wengi nguvu hawana kabisa kitandani yani utakuta mtu anaenda la kwanza na la pili ukimwambia aendelee atakwambia ngoja kwanza pakuche ama nimechoka jamani kweli vijana wakati unatakiwa kijana ndio uonyeshe manjonjo yote sababu nini ukiacha sababu ya wanaume siku hizi kupiga sana mechi za nje yani mwanaume anaendekeza mechi za nje mpaka akifika ndani hana kitu kabisa hawezi kumpa mkewe ama anampa moja tu halafu basi...Inahusu

 utakuta mwanamke bado hamu imemjaa hajafika kileleni ndio unaanza kumpa mwanamke wako matamanio ya kutoka nje na yeye kupiga mechi zake.

Wanawake unajuwa nini cha kufanya au kumpa mpenzi wako kuimarisha nguvu zake? usikose kuja kufundwa upewe na kuonyesha ya kumlisha kijana awe hodari..ni 26/4/2013 lipia nafasi yako mapemaaaaa

Reactions:

1 comments:

  1. Tunalipiaje jaman wengine wageni dada etu kipenzi, inavokuwaga, na sitaki kukosa mwaya.

    mie boyfriend sina, wala ya chumban siyajuwi mana nimelelewa kwenye kuokoka, ila nawaskilizaga rafiki zangu wa duniani si najua kidogo, ila nataka kujuwa zaidi, hayo ya chumbani, mana kwenye hayo hakunaga cha kuokoka, kitu cha sita kwa sita mautundu na maujuzi ndo mpango mzima

    ReplyDelete