Wednesday, March 27, 2013

Hapo sasa..Nimeikuta hii sehemu

Kuoa/Kuolewa sio mwisho wa Uzinzi...Ukifunga ndoa mchungaji hafanyi Installation yoyote ya Anti-Sex Outside Tracker System....Kuoa/Kuolewa ni mwisho wa ukapera tu...Kama unadhani automatically itabadilisha tabia yako,waza upya...Nawajua jamaa wameoa wiki iliyopita na sasa wako gesti wanakumbushia enzi.Ndoa na utulivu havina uhusiano,Utulivu ni State of Mind na uamuzi kwamba sasa nimeoa/kuolewa natulia na huyu mmoja...Wale wamegeuza Ndoa kama Kihisishi cha Sifa(kama mnakumbuka kihisishi ni nini,Kiswahili form 2),waoe ili wazuge...Waolewe ili waoshe jina kwa mashosti na wazazi..Ndoa ni ibada takatifu,Iheshimu,usiichezee

Reactions:

0 comments:

Post a Comment