Thursday, February 21, 2013

Leyla Rashid - Sina Muda Huo

Hehe heiya.. sina muda huo sina muda wa kukaa vibarazani kumdiscuss mtu, nina hamsini zangu zinanipeleka mbio alionihamuru MUNGU siyamalizi kwa leo..hehe heiya

Iweje ya walimwengu miye sina muda huo usinipigie majungu miye si mke mwenzio, muda huo sina wa kuchezea...... kwanza tuheshimiane mimi na wewe hatushei mume, huongo tusizuliane vibaya usiniseme ukanitilia nuksi... usitake tuchambane sio wewe gumegume lililokujaa mikosi kama huna kazi basi kalime.

hehe heiya niache usiniseme tafuta jambi lengine na wajinga usinimiz wapi ............honey nipapasie......nione raha...hehe heiya

chakunishughulisha kwako miye sikioni, niangalie juu mpaka chini kisha niambie unanisumbua nini mpaka nikae nikuseme wewe pembeni..hilo lako joto hupati baridi maisha tako mimi nipo na nitaendelea kuwepo..

Hapo sasa wenye nyonga zetu hehe heiya hebu nizungushe yangu hapo weeee chini hehe heiya juu sasa hapo sasa nyuma sasa hehe heiya kama unayonyonga twendeeee

Unahamu nikuseme nikikusema utalia, unahamu nikuchambe nikikuchamba utazimia..

Utabaki hatihati la kwangu hulipati ng'o

Reactions:

0 comments:

Post a Comment