Tuesday, February 26, 2013

Bi chau weeee umenikosha..

 Itabidi katika mafundo tunayofanya siku moja tumualike bi chau aje kutupa maneno, mama anamaneo huyu anajuwa kujilipua..hapana ona

Mmesikia nyie mabibiharusi watarajiwa sio kwa vile umeenda kwenye kitchen party ya fulani ukamuona mc anatukana na kuchekesha ukaona ndio anaye faa kukufunda, mc anachumba kimoja na anamume wa mtu atakufunda nini wewe..

Makungwi wanatakiwa kwanza kuwa na nyumba yenye uwazi na chumba cha kufundia wapi kungwi wangu rehema a.k.a double r nimemiss likitanda lako tanda hilo ukianza kufundwa kukata kiuno mpaka msamba unapigishwa..hehe heiya chezea weye

Unaambiwa mwenzangu inahusu nini kumaliza la saba halafu ukawa kungwi utamfunda nani unajuwa nini kuhusu mapenzi..haloooooo ndio maana siku hizi ndoa hazidumu mtu mwaka tupa huko jamani kuweni makini sana na hawa makungwi tafuta wenye uzoefu na watu wazima.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment