Tuesday, January 29, 2013

Msaada Tutani...

Eti wakina mama/dada.. Unamfanyaje mtu huyu? Partner wako. Unaumwa hakutunzi hakupeleki hospitali hakupi pole hakujali hakubembelezi. Unajipeleka mwenyewe unajihudumia unapona. Akiumwa yeye unahangaika wee hadi unaacha kwenda kwenye shughuli zako. Je ni kawaida kwa wanaume kuwa hivyo au ni mimi tu nimekula hasara?
CL

Reactions:

0 comments:

Post a Comment