Thursday, November 15, 2012

Wanameremeta Aunty Ezekiel na Mumewe Demonte...

Hehe heiya chezea ndoa wewe MUNGU awabariki katika maisha yenu mapya..

Mwanamke ndoa mengine nyongeza...

Nasikia huyu wifi..mawifi oyeeeeeeee...

Kwa raha zenu maisha mapya sakateni rumba..

OOhhh mbona mdogo huyo mkubwa wako yupo wapi???? bora yeye mdogo lakini kaheshimika na kuthamaniwa..

Lea mtoto wa mwanamke mwenzio kwa raha zako mpe kila kitu roho inapenda mama..

Reactions:

0 comments:

Post a Comment