Sunday, November 18, 2012

SOMO...

Shoga, habari yako natumaini huko ulipoamkia wote wazima..

Sasa leo shoga nataka nikujuze kidogo unajuwa raha ya mshumaa??? shoga raha ya mshumaa uwashe juu ya kisosi..hehe heiya umenipata

Kama hujanipata shoga basi tutakujuza zaidi hiyo ni moja ya dondoo ya 7/12/2012 tukutane hapo, lipia nafasi yako sasa shoga ugewe sare yako nipigie 0717 019320

Reactions:

1 comments: