Wednesday, November 14, 2012

Hehe heiya...

 Mliokuwepo mwezi wa kumi tulivyofunda mara ya kwanza mnakumbuka mauno...hehe heiya style zile mnaziona humo?????

Haya sasa tukutane tena katika darasa la watu wazima 7/12/2012 kama ile ilikurusha roho inayokuja itakubwaga roho..hehe heiya ushalipia nafasi yako siku zimeishaaaaaa

Mwanamke NYONGA, mwanamke CHUMBANI....umenisoma??? shaurilo

Umeona kikoi kinavyotumika lipia upewe chako mapemaaaaaaa..hapa kazi tu maneno kwenu

Reactions:

1 comments:

  1. tunalipia wapi jamani tuje tufundwe

    ReplyDelete