Monday, October 22, 2012

Mwanamke khanga kitenge umbea...

Unaambiwa mwanamke khanga kitenge umbea khanga laini haichubui shoga kitenge kigumu kinachubua unalijuwa hilo..shaurilo.

Wanawake hivi hizo khanga mnazonunua matumizi yake mnayajuwa vizuri? ama utakuta kwenye kitchen party mwali katunzwa khanga kibao matumizi yake mnayajuwa manaelezwa vyema kama hukujuwa chukuwa hilo..

Khanga ndio maana ina pc mbili ukishaipinda ukiwa nyumbani na mumeo mmejisikia kuchuma tunda mwanamke ingia chumbani andaa chumba chako tayari kwa majamboz, tena miye nakushauri kama mumeo unampenda sana hutaki kumpa shida ya kuinukainuka baada ya mchoko wa mzunguko ukiwa unaanda chumba usikose kibeseni kidodo ama kindoo  kidogo cha chumbani.

Kila mwanamke mwenye kuelewa uwanamke lazima chumbani kwako utakuwa na kindoo kidogo cha bafuni hiki hutumika kwa kazi mbili jamani, kwanza kufulia chupi za mumeo, ndio mwanamke lazima ufue chupi za mumeo hilo ni jukumu mwanaume kupendeza na kuvutia mpaka atamaniwe nje unadhani anataka maneno mwanaume anataka matendo anataka kutunzwa bibi.

Basi kile kindoo kinatumika kufulia chupi za mumeo kama umeshazifua unakiosha vizuri cha matumizi ya usiku ukiwa unaandaa unatia maji kwenye kile kindoo ama kibeseni chako huku pembeni mwa kitana umeweka khanga zako tik tik tak tak mnachuma tunda kwa raha na mapenzi tele, wote mkishafika kileleni baba anakuwa amechoka jamani basi wewe mwanamke utachukuwa upinde mmoja wa khanga utauweka pale kwa bibi huku umebana miguu ili zile shahawa zishukie mule baada ya kujiwekea wewe utachukuwa upinde mwengine wa khanga chovya kwenye maji yako muoshe mumeo vizuri atakate tena wakati unamuosha unamwambia pole mume wangu na ahsante kwa kunifikisha kileleni.

Yule mtu mzima kumuosha uume wake dhahama jamani sio kitu cha mchezo lazima umpe pole na samahani nakuosha mume wangu, ukimaliza mtwange busu muache apumzike baba wa watu ajenge mwili unadhani mwili unajengwa na tofali usione mume wa mtu kapendeza ukamtolea macho kujigongesha aku.....shoga anagharamiwa huyo..na mwanamke aliyefundwa ndio anaweza bibi kufanya hayo wewe ulikuwa unayajuwa hujafundwa ndio maana tunaandaa vitu kama hivi wanawake unashauriwa kuja ujifunze jamani kulea ndoa sio mchezo kila mtu angekuwa nayo.

Reactions:

1 comments:

  1. My dear Rose hongera na asante sana kwa kutuletea kitu hiki. nilifurahia sana mafunzo ya jana chakula kizuri kwa mara ya kwanza nimekunywa uji wa nazi... mtamujeee! naisubiri kwa hamu session ya pili! BIG UP Rose! Sukie

    ReplyDelete