Tuesday, October 23, 2012

Chezea siye..

 Hii ni kati ya style tulizofundwa juzi za kula raha lakini pale alikuwa amevaa nguo nakudokeza tu kidogo jinsi tarehe 16/12/2012 itakavyokuwa mambo waaaziiiii moja hadi moja unaonyeshwa chezea kufundwa.

Nilionya mwanzo kwa wenye aibu wasije wakaja watu wazima wenye kutaka kujifunza na wakaelewa sasa basi na hii nasema mwenye aibu ASIJE maana haimfai na kama unahisi wewe ni mtoto pia lala nyumbani huku tunataka watu wazima wenye kuhimili raha na maumivu ya kiuno.

Tukutane tena MUNGU akipenda mwezi wa kumi na mbili.

Reactions:

2 comments:

  1. hapa ndgu mhhh mtiani mna iyo style noma!

    ReplyDelete
  2. jaman hizo njia za kutumia Alovera nazisubir kwa hamu hapana chezea mwanamke. ila mmmmhhh hiyo style tena haya tuko pamoko. Grace wa Kimara

    ReplyDelete