Monday, October 29, 2012

BI. Harusi mtarajiwa, Elizabeth Terezia (32), mkazi wa Mbezi Beach, Kinondoni jijini Dar es Salaam amebakwa, ameuawa kikatili na watu wasiojulikana wakati akitoka katika Kanisa la Ufufuo na Uzima, Kawe, Dar linaloongozwa na Mchungaji Kiongozi Josephat Gwajima, Uwazi lina kila kitu mkononi.

Kwa mujibu wa bwana harusi mtarajiwa, Edefonce Sikwembe (42) ambaye ni mkazi wa Kunduchi, Dar tukio hilo la kinyama lilijiri Oktoba 10, mwaka huu majira ya usiku wakati Elizabeth akirudi nyumbani kutokea kanisani hapo.

“Siku ya tukio tulikuwa katika viwanja vya kanisa la Gwajima, nilimpigia simu mwenzangu kumwambia nakwenda nyumbani kuandaa biashara ambayo ningeifanye kesho yake,” alisema Sikwembe.

“Kwa maana hiyo yeye nilimwacha kanisani. Saa 2:30 usiku nikampigia tena simu kutaka kujua alipo, akaniambia yupo njiani anaelekea nyumbani kwao.

“Saa 3:00 usiku nilimpigia tena, maana ilikuwa kawaida yangu akiwa nje ya nyumbani kumfuatilia anaporudi ili nijue alipo, lakini cha kushangaza akawa hapatikani, niliamini simu yake iliishiwa chaji.

“Sikuwa na wasiwasi hata kidogo. Hata usingizi wangu usiku haukuwa wa mang’amunga’amu. Alfajiri ya siku iliyofuata nilipoamka nilimpigia simu tena nikiamini mchumba wangu Eliza alichaji simu usiku, lakini bado akawa hapatikani!

“Hata hivyo, niliondoka nyumbani alfajiri hiyohiyo kwenda Buguruni ambako ndiko kuna biashara zangu. Njiani nilimfikiria sana Eliza, si kawaida yake kutopatikana hewani kwa muda wote huo.

“Ilipofika saa 12 asubuhi, shemeji yangu anaitwa Lillian alinipigia simu na kuniambia Eliza tangu alipokwenda kanisani jana yake jioni hajaonekana nyumbani.

“Kuanzia hapo nilianza kupatwa na wasiwasi, tena mkubwa. Namjua Eliza, si mtu wa kwenda kulala mahali bila taarifa, hasa kwangu,” alisema bwana harusi huyo huku machozi yakimtiririka. Kabla hajaendelea, akasema kwa uchungu na kwa kifupi!

“Da! Inauma sana kwa kweli.”

Akaendelea: “Palepale nilifunga biashara, nikaondoka kwenda kwao ili nikapate maelezo mazuri. Lakini kabla sijafika Mbezi Beach, njiani maeneo ya Afrikana nilikutana na Lillian.

“Tukaamua kwenda kanisani kwa Gwajima kwa ajili ya kuulizia. Njiani akili yangu iliwaza mengi, lakini yale mabaya sikuyapa nafasi na nilimwomba Mungu kwamba kama kuna baya lolote limemfika mpenzi wangu iwe ni filamu na si la kweli.

“Tulifika, mawazo yangu yalitamani tuambiwe Eliza alilala pale kwa ajili ya huduma, lakini ikawa kinyume, tukajibiwa kuwa alipoondoka jana, hakurudi!

“Kuanzia hapo nilichanganyikiwa, nilikuwa nikitembea eneo la kanisa huku na kule nikiamini nitamwona Eliza wangu, lakini bila mafanikio.

“Nikaenda kuuliza kwa majirani wa maeneo yale lakini majibu yao yalikuwa hawajamuona mtu na aina hiyo. Kuna wakati nilitaka kuamini kwamba, alifichwa eneo lilelile na wafichaji waliniona ninavyohaha kumsaka mchumba wangu.

“Mwishowe, mimi na Lillian tulikwenda Kituo cha Polisi Kawe na baadaye Oysterbay kwa ajili ya kuulizia na kuripoti, nako hakukuwa na taarifa za mchumba wangu.

“Baada ya hapo tuliendelea kuulizia na vituo vingine vya polisi na tulifika Hospitali ya Temeke, Amana na Mwananyamala ambako pia hatukumpata Eliza. Mpaka hapo bado sikuacha kupiga simu yake na iliendelea kutopatikana.” (akatokwa machozi).

Akaendelea: “Siku ya nne tangu kutoweka kwa Eliza, shemeji Lillian alinipigia simu, akaniambia niende nyumbani kwao, nikahisi Eliza ameonekana. Njiani mapigo ya moyo yalikuwa yakienda kwa kasi.

“Nilipokaribia kwao, niliwaona watu wengi wakiwa katika mfereji ambao upo karibu na hapo nyumbani, nikashtuka na kusimama kwanza, kisha nikatembea tena.

“Lakini tayari mwili wangu ukawa unaishiwa nguvu kwani nyuso za watu wale zilikuwa za huzuni tupu. Kusema ukweli japo ni mwanaume, nilishindwa kujizuia, nikakaa chini hasa pia baada ya kuliona ‘Difenda’ la polisi likiwa katika eneo lile.” (Sikwembe akalia tena).

Alipotulia, akaendelea: “Shemeji yangu alinifuata huku akilia na kusema, ‘shemeji hatumaye Elizabeth hatunaye tena duniani.’

Sikwembe alishindwa kusimulia vizuri kutokana na kilio, lakini alisema ilionekana marehemu alitekwa na watu wasiojulikana, wakambaka na kumuua kwa kumnyonga kwa khanga kisha kutuupa mwili wake katika mfereji huo.

Alisema mwili wa marehemu ulikutwa ukielea kwenye maji machafu na umelimba huku nguo yake za ndani ikiwa pembeni yake sanjari na Biblia aliyokuwa nayo kanisani.

“Elizabeth amekufa kifo cha kusikitisha sana, kinaniuma sana, maiti yake ilibidi ichukuliwe kwenye nailoni mpaka Hospitali ya Mwananyamala, lakini uongozi wa hospitali hiyo walisema chumba cha maiti kilijaa hivyo tukampeleka Muhimbili,” alisema mwanaume huyo.

Marehemu alizikwa Oktoba 14, mwaka huu, Mbezi, Dar es Salaam na ilikuwa wafunge ndoa na Edefonce` Desemba, mwaka huu na tayari vikao vya harusi vilishaanza kwa pande zote mbili. Mungu ailaze pema peponi roho ya marehemu. Amina.
 
Source: Global Publishers

2 comments:

  1. mmm mdada kama unaona raha wasiwasi wako wa nini mwache mzee ajilie vyake na wewe unaona raha enjoy maisha ndiyo hayo kunyonywa na kutiwa vidole mkundunu siyo kufirwa,na tena huyo mumeo anaonyesha anajua mapenzi hata kama atataka kukufira amini utaona raha sana tu, na mumeo ameshakuhakikishia kuwa hatoenda kinyume na matakwa yako mfurahishe mumeo asiende kufurahishwa nje. Mimi nakuambia hivyo kwa uzowefu mume wangu alinianzia hivyo hivyo nnauelewa utamu unao upata tena yeye alininunulia mpaka na toys za kunichezea mkunduni niraha sana na ilimchukuwa zaidi ya mwaka kunichezea mkundu mpaka siku aliponiomba kunitia mboo mkundu ulikuwa umezowea ilikuwa ni harusi mpaya sikohowi kwa mume wangu shoga akitoka ni kazini nyumbani hana mitoko ya hovyo mpaka ndugu zake wananiambia nimemroga lakini sina hata cha kumroga ila mapenzi tu.

    ReplyDelete
  2. mmmh hapa bi dada unayechezewa kaa chonjo bana KIUKWELI UTACHEZEWA NA SIKU MOJA MWENYEWE UTAMWAMBIA INGIZA, AKISHAM ANZA HIYO KITU KUMBUKA UTAHARIBIKA NA UKISHAHARIBIKA KWISHA KAZI ATAENDELEA TU KUTAFUTA MKUNDU MWINGINE ULIOTIGHT. HAWA WAUME ZETU TUWAPENDE BUT USIJIDANGAJE ETI NAMPA MKUNDU ASITOKE NJE HIZO NIHADITHI TU OF COZ HAKUNA MWANAMME WA PEKE YAKO BI DADA MPE KA WAPENDA NA USIMPE ETI KWAKUWA WAOGOPA ATATOKA NJE UTALIAAAAAAAAAAAAAAA N AKUJUTAAAAAAAAAA KUWAJUA MA MEN.

    ReplyDelete