Monday, July 30, 2012

Unaambiwa mpende akupendaye asiyekupenda achana naye..miye nakutupa huko kwenye dustbin

Yeye ndio kila kitu kwangu mpenzi chocolate kama ni tamu nairamba ananiachia, kama ni hamu naipenda...hehe heya..

Hapo sasa wenye viuno vyao kata mama nyonga ionekane, ama mpaka usukumwe na tinga tinga??? mwanamke kujishebedua na kujitamba wapi kujiamni..

Pinda mpaka chini, ukiinama, ubavu na kule siitaji msaada wa kusukukumwa ama kuwekwa sawa, hapa na wala kiuno hakina mituta ya nyama..wapi ................ umenisoma???  hehe heya chezeya miye mkono wa dhahabu vidole vya almasi.

Wapi Mzee yusuph ananikosha miye, eti nakuona tu unanifwatilia nakuona tu unaning'ang'ania japo sitaki ugomvi na wewe unanifwatilia na kunig'ang'ania umerogwa we mwenzetu ama umetumwa??

Kushnehi Abibi, namasdei bibi.....

Reactions:

0 comments:

Post a Comment