Monday, July 2, 2012

Msaada Tafadhali...

habari za kazi dada. mimi ni msomaji sana wa blog yako na nimeona mengi ambayo nilikuwa siyafahamu nimejifunza kupitia blog yako. kilichonisukuma kukuandikia ujumbe huu naomba ushauri, niko kwenye ndoa kwa miaka mitano sasa, na sina mtoto,kuna tatizo limejitokeza katika maumbile yangu ya siri yametanuka mpaka mwenzangu hafurahii tendo pamoja na kutoa majimaji wakati wa tendo. naomba ushauri wako nifanyeje ili nirudi ktk hali yangu ya mwanzo niweze kufurahia tendo kama wenzangu na nisije nikakimbiwa na mwanaume. hata ukiiweka watu wakachangia mawazo sio mbaya, ila e mail yangu naomba ifiche. Nakutakia kazi njema na M/mungu akuongoze uzidi kutuelimisha.

4 comments:

  1. pole sana najua unavyojisikia vibaya hasa kwa umpendae. kwanza ungeenda kwa dactari wa wanawake labda ngepata dawa au ushauri.

    ReplyDelete
  2. Pole! hata hivyo yapo maswali mengi ambayo msomaji angependa kupata majibu yake. mfano awali maumbile yako yalikuwaje, makubwa au madogo? Kama yalikuwa ya kawaida, ni nini kiliyatanua hivyo. labda maumbile ya huyo mumeo nayo yamechangia kutanua maumbile yako? Au ulikuwa unashirikiana na wanaume wengine wengi? au umetoa mimba nyingi?

    Hata hivyo, maumbile ya siri ya mwanamke nadhani ni elestic yana uwezo wa kutanuka na kurudi kwenye hali yake ya kawaida. mfano baada ya mwanamke kujifungua kwa njia ya kawaida, baada ya muda maumbile yake hurudi katika hali ya kawaida.

    Ushauri: inawezekana kuna ugonjwa ndani ya maumbile yako ambayo yamesababisha hali hiyo, hivyo waone madaktari bingwa wa magonjwa ya wanawake. Kama hakuna ugonjwa fanya maombi na Mungu atatatua tatizo hilo. Otherwise, tumia Shabuu au mark tight! Mtambo utarudi tight mpaka mdau atashangaa, kwani inaweza isipite! Pole sana.

    ReplyDelete
  3. tafuta mbegu ya embe kile cha ndani kitwange hd kiwe lain kama ujiuji hivi afu unaingiza kwa bibi baaada ya nudu saa unaenda inawa,then ndo unaenda kufanya mavituz,,,,utatupa feedback

    ReplyDelete
  4. kama kweli kiini cha kokwa la embe ni dawa ya kupunguza sehemu za siri za mwanamke zilizotanuka, itakuwa heri kwa wengi. wanawake wengi wana hilo tatizo lakini hawajui mpaka ampate mwanaume mwenye moyo wa kumweleza mbona maumbile yako siku hizi yametanuka sana! lakini isije ikawa dawa hiyo itapunguza sehemu hizo mpaka mzee akitaka kuingia anashindwa!

    Wanawake changamkieni dawa hiyo, hususan wale ambao wanamwanamme zaidi ya mmoja! Kama aliyetangulia kalainisha mtambo, na unataka kwenda kwa mwingine, basi tumia kokwa la embe kuweka huko!, then itaendelea kupeta kwa mwingine! Angalizo, UKIMWI upo na unaendelea kuua watu zaidi. inawezekana sasa ni zamu yako kuupata. Kuwa Makini, usiende pekupeku!

    ReplyDelete