Friday, July 27, 2012

Kuna ya kuzaliwa na Yakutengenezwa..

Unajuwa kama mtoto wa kike anapozaliwa wengi haswa huku uswahilini kwetu akishatoka 40 mama yake mzazi humavalisha shanga kiunoni!!!! ndio najuwa utakuwa unashangaa lakini ni kawaida huku kwetu hiyo ni kwasababu unakuwa unamtengeneza mtoto mwili, waswahili wanaamini kwa kumvalisha shanga kiuno kinajitenga.Upo hapo wakati wengine wanasema oohh anavaa shanga sijui muhuni, sijui vipi sijui lile sasa kama uhuni basi unauona wewe wenzio wanatumia shanga kuweka watoto wao sawa sio ukiona mwanamke mwenzio barabarani anamvuto unashangaa mama yake aligharamia, au mwanaume mimacho inakutoka juwa gharama zimetumika kuunda na kukanda kiuno..umeona

Hapana chezeya uswazi..

3 comments:

  1. jaman jamani hiv ni kwel inasaidia hy kitu?

    mie namshukuru Mungu sijawah valishwa ila mashallahh kiuno kipo chaonekana,

    ReplyDelete
  2. @Ben sio ujinga nimeskia hata wanyamwezi wanafanya the same aliniambia my aunt.

    ReplyDelete