Monday, June 25, 2012

Msaada Tutani...


Sijui kama ni tabia ya vijana wa Rwanda tu kupiga punyeto, kujinyengeresha ........
Kwa kweli mimi mwanzoni nilikuwa mkosoaji wa wapiga punyeto na kuwa nawakemea  na kuwaonya dhidi ya matumizi ya punyeto katika kutosheleza tamaa ya ngono.
Lakini sijui jinsi ibilisi alinivuta polepole mpaka nikajikuta nimeingia katika tabia hiyo. Nauchukua mwiko wangu ninapooga bafuni na kutelezesha telezesha kati ya vidole vyangu ambayo huwa vimelowa mapovu ya sabuni!
Mwanzoni nilijaribu kumasturbate kwa njia ya kawaidia, nikashindwa kutoa manii ndipo nikaamua kuacha. Hatimaye rafiki yangu akanipa ushauri mbovu wa kutumia sabuni niwapo bafuni ndio nikaweza.

Niwafiche nini wakati naomba mniponye kwa nasaha zenu? Siwezi kumficha daktari wala kumdanganya kwa njia moja ama nyingine wakati mimi ndo naugua na nahitaji tiba.

Sasa mimi mraibu wa kupiga punyeto! na tabia hii nimeanza mwaka jana!

Mzigo mzito ambao naubeba shingo upande ni kwamba kila ninapomaliza kutekeleza jambo hili najihisi kichwa kinaniuma siku hiyo. Kutokana na kuumwa kichwa na kutaka kuachana na mwenendo huu unaomchukiza Mungu najaribu kujiuzulu ila nimeshindwa.

Nilishawahi kuapa kwamba kamwe sitopiga tena, siku nne mfululizo zikamalizika sifanyi, ila ilipoingia asubuhi ya siku ya tano nilipofika bafuni nilisikia nimesimika sana na kushindwa kujidhibiti! Ghafla nikaanza kupiga mpaka mbegu za uzazi zikaporomoka! Jambo ambalo linachochea wakati mwingine ni kuzitizama filamu za maonyesho ya  ngono! Baada ya kuziangalia huwa nashindwa kuituliza nafsi yangu na kujikuta nimekwenda mzengwe kujiliwaza kwa punyeto! Najaribu kujiepusha na filamu hizi ila bwana imeniwia kibarua kigumu!

Sijui nifanye nini ili kuondoa mwiba huu unaonichoma jamani, naomba mnierevushe kwa nasaha zenu huenda Mungu akipenda nitapona. Naamini huu ni ugonjwa wa akili ulioniingia!

Tena sijaoaa na nimesikia watu wakisema inasababisha mtu awe anapiga bip mkewe anapovuta jiko ! Tena naambiwa ukiwa mpu wa kubip mke wako anakukimbia!

Jamani naiona kesho yangu na mustakbali wangu katika kioo kilichovunjika, ila kikwazo nimeshindwa kujiondolea tabia hii mbaya tena mbayaaaaaaaa!!!!!
Napiga punyeto kila asubuhi au baada ya kila siku mbili lakini mara nyingi nikila kukicha! Sijui kama chanzo sina girlfriend ambaye angekuwa ananiliwaza kwa njia ya kawaida ama......!

Nisaidieni imeniwia kitenzi kutua huu mzigo


J


4 comments:

  1. We piga tu,me mwenyewe napiga punyeto,asilimia 85 ya wanaume wanapiga,kwa upande wangu iko poa haina madhara,mf last wkend nimepiga usiku kucha,kesho yake nkaenda kutiana na jimama flan hv,mbona lilikoma...piga mashine kisawasawa

    ReplyDelete
  2. Uzuri wa punyeto upo salama na haya maradhi yalivyo mengi siku hizi unayaepuka na pia haina gharama yeyote we ukishaangalia muvi zako basi unaweka hisia zako hapo ukimaliza usingizi mnono,ukipiga punyeto angalau japo mara tatu kwa wiki ipo poa. Hao wanaosema ni dhambi ,mbona wao wana fanya zinaa tena na wake au waume wa watu hizo sio dhambi? Tena siku nyingine kama utapata kideti anza kwanza na punyeto baadaye umalizane nae uone jinsi atakavyosifia maana mashine inakua imeisha pata kasi ya ajabu.
    Kwa raha zako wewe endelea na punyeto, wahindi wanaita (MUTYA).

    ReplyDelete
    Replies
    1. Na vipi kuhusu tetesi za mtaani kwamba kupiga punyeto hupelekea kubip mke wakati mtu anapooa( mbegu za uzaji kutoka mapema sana kabla mke hajatosheka hata wewe unahisi ungetaka kuendelea kuchomeka)? Je, ntakapooa haitakuwa vigumu kuachana na punyeto? naskia kuna wanaume kibao wanapiga wakati wana wake zao tena wawapendao! ila naona ukipiga kisirisiri na mke akaja kufahamu juu ya hiyo skendo anakukimbia!!!!! ila nawashukuruni kwa maoni yenu.

      Delete
  3. Inamadhara makubwa sana, mwishowe utakuwa hanisi

    ReplyDelete