Monday, June 25, 2012

Hii inaitwa sasambua kibeseni cha mtoto..hapana chezea MABIBO..Nitafanyaje ndio kwetu

Jamani hii ilikuwa jana sasambua mtaani mtoto katoka 40 basi watu shurti kumwaga manyanga..hapana chezea watoto wa mabibo umeona??? umeona SHOGA hilo linavyokata kiuno halafu wewe mwanamke mzima unalala kama gogo inahusu?????? chambua picha vizuri uone mashosti walivyokuwa wanaserebuka wapi mama Lulu kati ya kinondoni upo???? Jumamosi kwako mama na sitaki kupiga picha nataka nipigwe miye nisasambue kwa raha zangu..nizionyeshe sha....zinazompa wa ubavu wangu raha umesikia eehhh..mwanamke kiuno babu makalio majaliwa umenipata????? 

 


















2 comments:

  1. Mungu apishe mbali dunia imeisha na hao watoto waliojazana hapo wanajifunza nini na wamama watuzima na hawo wanashangilia huyo shoga anavyokata kiuno wanaona nikawaida tu ni jambo zuri yaani sina hata ya zaidi ya comment maana this is too bad hili jambo halikubaliki hata kidogo

    ReplyDelete
  2. KUMBE NDO MAANA NA WEWE MSWAHILI SANA KUMBE TUMEKUJUA. USISINGIZIE KWASABABU UPO MABIBO NA WEWE NIWALEWALE

    ReplyDelete