Sunday, November 27, 2011

Natumaini unaendelea vema, naomba unisaidie kuweka mada hii kwenye blog yako. Najua na ninaelewa kwamba wanawake wengi siku hizi wanadaiwa kufanya mapenzi na wanaume kinyume na maumbile, mimi kama mkristo natambua ni kosa na haifai kufanya hivo, japo wanaofanya huwa wanafanya kwa raha zao. kuwalaumu pekee haitoshi. Sasa nachoomba wadau wenzangu kwenye hii blog wajitokeze wanawake wanaofanya tendo hili watuambiwe wanajisikia raha gani wafanyapo hivo na je wamependa, wamelazimishwa au wanafanya hivo kwa kushawishiwa. Tafadhali naomba maoni ya wadau.

Reactions:

0 comments:

Post a Comment