Tuesday, November 22, 2011

MZUNGUKO U VIPI..

Mpendwa Rose Mary naomba uniwekee kaswali kangu haka kwenye blogu yetu ili nione wachangiaji wanasemaje.
Swali langu ni hili: Kwa wastani ni mara ngapi ( kwa wiki/kwa mwezi/kwa mwaka) baba na mama wanatakiwa kupeana chakula cha kitandani(tendo la ndoa)? Ninauliza hili kwani mimi ni mtu mzima nilieowa na nina familia ya watoto wanne na tunapendana na mke wangu vizuri tu lakini shida inakuwa hapa kwenye chakula cha kitandani. Pamoja na kuwa tunapendana lakini mke wangu nikigusia kwenye maswala hayo anakuwa mkali sana hivyo utakuta labda tendo la ndoa tunafanya mara moja kwa mwei au hata mara nyingine inachukua hata miezi mitatu hatujakutana kimwili na ikitokea hivyo inakuwa kama kumlazimisha bila yeye kuonyesha kufurahia tendo hilo hata kidogo. Sasa mimi sitaki kabisa kutoka nje au kuwa na nyumba ndogo lakini sijui la kufanya. Pia najiuliza kama wanawake wengi wanakua hivi kwa waume zao, sio ndiyo inasababisha wanaume kuamua kutafuta raha hizi nje ya ndoa? Tafadhali wachangiaji wachangie kwa uangalifu kwani yanaweza kusaidia jamii yetu inayoangamia kwa ukimwi.
Mimi

5 comments:

  1. pole sana, kwa maoni yangu mimi, kusema kweli tendo la ndoa haliitaji ratiba, linanoga hasa pale kila siku linapokua kama surprise tu, kwakua mkeo anaonekana kama vile hana hamu,inamaanisha lile tendo huwa halifurahii, sidhani kama mtu akiwa anapata utamu unaweza kua unakataa tendo. sasa basi jaribu kukaa na mkeo uongee nae ni kitu gani hasa anachokata au huwa ana imagine kwenye sex ili aenjoy, na inabidi uende nae taratibu hili sio jambo la siku moja tu ukaweza kujua, itachukua muda kidogo. so jaribu kukaa na kuongea nae. unaweza mwambia aingiee hata humu posts za humu zina mambo mengi sana amabyo yanaweza kumbadilisha.

    ReplyDelete
  2. Pole sana ndugu yangu, kwanza ningekushauri kama unaomba ushauri ni vema ukataja umri wako kwani ni kigezo muhimu katika kukushauri na muda mlio kaa na mke wako, Kwa mfano ningejua umri ningeweza kujua kama mke wako kafikia kipindi cha menopouse ambacho huwa hamu ya kufanya mapenzi kwa mwanamke inapungua. Alafu inabidi na wewe ujiangalie labda kuna vitu unamuudhi kupitiliza na anaamua akukomeshe kwa kukunyima unyumba. Jingine jaribu kuwa mbunifu kama kumfanyia suprise, kumpa zawadi, kumtoa out na kumbembeleza na kumuomba msamaha unapomkosea, kweli nakwambia lazima ukimwomba mchezo lazima atajifikiria mara mbili na hawezi kukataa. Jingine hebu mueleze ukweli kwanini hataki kukupa mapenzi pengine tofauti na hapo mwanzo na umuhoji kwa kina na utapata jua ukweli na uufanyie kazi. Na hakikisha ukiwa unafanya nae mapenzi, hapa ni baada ya kuweka miili yenu safiiiii! unamchezea vya kutosha japo kwa dakika zisizopungua kumi mpaka kumi na tano na kuwa mbunifu maana siku hizi wanasikia story wenzao wanavyofanyiwa ukijifanya huwezi watu wanakuibia tena bila kujua, sasa kwanini asikuzungushe kama jamaa kamlidhisha nje jana yake?. So jitahidi umfanye asikie raha kupita maelezo. Mapenzi hayana rariba, ila sio vema kufanya kila siku yaani mara saba kwa wiki, lazima mpeane muda wa kupumzika mfano sio mbaya mkifanya mara3 mpaka 4 kwa wiki, huu ni ushauri wangu mimi binafsi. Natumaini ushauri wangu utakusaidia, ukifanikiwa usisite kuja hapa kutueleza. Nakutakia mafanikio mema. Mpende sana mkeo.
    Ni mimi Izzoo! Dodoma

    ReplyDelete
  3. inavyoonekana mke wako hafurahii tendo ndoa. na kuna mambo mbalimbali yanayoweza kusababisha asijisikie kufanya tendo landoa na wewe. wewe mwenyewe unapotaka kufanya tendo la ndoa na mke wako uko katika hali gani endaikawa mkeo kuna mambo hapendi kutoka kwako mojawapo inaweza kuwa harufu ya pombe, sigara na mengine kama hayo. pia jaribu kuzungumza na mkeo kwa utaratibu kujua sababu, pia isije ikawa ana mtu anamridhisha pembeni jaribu kuchunguza pia.

    ReplyDelete
  4. Kaka wanaume huishiwa nguvu za kiume. Na wanawake pia huishiwa nguvu za kike hali inayosababisha ashindwe kusisimka. Mwanamke aliyeishiwa nguvu za kike hata umlambe kisimi mpaka mkundu kamwe hawezi kusisimka, hii ndiyo inayosababisha yote hayo. Chanzo inaweza kuwa hormonal imbalance, depletion of neuro transmiters due to everydaysex or musturbation. Nakushauri uzungumze nae ili ujue kwann hataki mfanye tendo, akisema hapati hamu kabisa, basi fuateni recommended diet for women, Mara nyingi dawa zinazompa nguvu mwanaume ndizo hzo hufanya kazi kwa mwanamke pia. Its takes time up to 4 months to eliminate ths problem

    ReplyDelete
  5. mimi ninakuja na wazo tofauti, mwanaume anapomsababishia mke wake mawazo/frastrastrations za kudumu, yaani tabia amabazo haziendani na maisha ya ndoa na hataki kubadirika, inaweza kumpelekea mama kukosa hamu ya mapenzi. ameishasema ana watoto wa nne uende mama mpaka anapata hao watoto wanne amepitia matatizo mengi sana. na pia anakaa kulea watoto wake na wala si mapenzi na mume

    ReplyDelete