Monday, November 14, 2011

BAFUNI...


Leo nataka niongelee bafu, bwana haijalishi kama wewe unauwezo wa kuwa na bafu la kisasa ama uwezo wako ni wakawaida wa kuwa na bafu la kawaida tu bafu ni bafu na utendaje wake ni uleule.

Leo nataka kila mtu ajuwe kwamba ni muhimu sana bafu lako likawa safi, hapa haswa naongelea wale wenye master bedroom, na hata kwa wale wenye bafu la public sio mbaya usafi ni muhimu akikisha bafu linafanyiwa usafi kila siku unapooga akikisha ukimaliza unafanyia japo kausafi kakiaina ili anayekuja nyuma yako asikute uchafu maana uchafu wa mwili haupendezi jamani na ni mbaya zaidi kwa wanaotumia maji ya chumvi inavyokatakata uchafu basi ukiuacha hapo chini kama roho yako ndogo unaweza tapika.

Bafuni mara njingi pia watu huenda mzunguko humu, sasa utaendaje mzunguko kama bafu chafu linatoa harufu, mzunguko utakuwa na raha kweli, raha usihike kama ukipindwa ushike sinki unalishika likiwa safi hata ikibidi upindike mpaka kulichungulia basi we burudani.

Mara kijana anataka kukaa kitako kwenye choo cha kukaa ili wewe ukae juu mmmhh, kama choo sio kisafi ndio muanze kukisafisha inahusu huku stimu si ndio inakatika sasa, mara unaambiwa hika ukuta ukuta haufai mpaka umeota ukungu mweusi ukipata kijana msafi kinyaa kikimwingia utasikia naona kama hapa sifiki vizuri twende tu ukashike kitanda....haipendezi jamani

Mwanamke, Mwanaume usafi wa bafu ni muhimu, raha ya bafu isiwe tu kutoa uchafu iwe hata kuingiza raha pia yani wewe ukiingia bafuni ukianza kukumbuka raha unzaopewa humo bafuni we moyo usuuzike kwa raha zako.
Reactions:

0 comments:

Post a Comment