Monday, October 31, 2011

ZIPO UKENI ZINANITIA KINYAA..

Dada Rosemary,

pole kwa kazi ya kuelimisha jamii na kwakweli unanitia moyo sana ninaposoma mada zako, maana zinanipa moyo wa kuendelea kuwa kwenye ndoa yangu na zinazidi kunifanya nijue kumpenda mke wangu zaisi siku hadi siku.

tatizo langu linalonifanya niandike humu leo nikuhusiana na fungus (fangasi) mke wamngu nimegundua anazo ukeni, mara kwa mara nilikuwa namuona anajikuna yani haachi nikawa nampotezea nikijuwa nimuwasho tu wakawaida lakini nikaanza kusita kila nikimwambia niingie chumvini hataki ananiambia nimlainishe kwa njia nyengine zozote, nikawa sielewi basi nikawa najitahidi kumlainisha japo alikuwa anaumia nikiingia kwani anakuwa halainiki sana kama ninavyoingia chumvini.

ndipo siku moja nilipomwambia leo nataka nikunyoe ukeni baada ya muda mrefu kuzozana maana alikuwa hataki baadaye ndipo alipokubali nikaanza kushughulika mwanaume, na kujionea vitu vya ajabu yani uke wa mke wangu ulikuwa unalika yani hizo fungus zimetandaa kote ninapoingilia uke wote umekuwa mwekundu na kama unababuka, yani inatisha kwa kweli.

nikamuuliza kama ulikuwa hivi siku zote kwanini usiende hospital nakumueleza doctor unajikuna sana akupe dawa eti ananiambia alikuwa anajuwa zitaisha tu kwakweli baada ya kuziona vile uume uliokuwa unasimama nikiuona uke wa mke wangu wote ukanywea kama kuku aliyemwagiwa maji maana sasa hata akiniambia niingie bila kuingia chumvini sidhani kama nitaweza maana ni pamenitia kinyaa.

nimemwambia aende kwa doctor na sitaingia mpaka nizione zimekauka na kuisha kabisa, nilitaka kuwashauri wanawake kwamba mume wako ndio rafiki yako wa kwanza na ndio kimbilio lako la kwanza kwa lolote lile umueleze hata kama ni la aibu kivipi yeye tu ndiye anayeweza kukusaidia kwa mama na baba mlishatoka sasa mume wako ndio kila kitu, na anapoamua kukupa raha za mpaka kuingia chumvini basi akikisha unajitunza na kuwa msafi wakati wote maana kuna wengine raha kama hizo za kuingia chumvini hawajawahi kuzipata wanazisikia tu.


3 comments:

  1. Duh ya leo kali, wewe kaka usingoje aende mwenyewe hospitali anaona aibu huyo wewe mchukue umpeleke kwa daktari na uingie nae useme matatizo yake. Nakwambia hivyo kwa sababu mie ni mwanamke na ninaelewa hulka ya wanawake ilivyo hasa kuhusiana na magonjwa yahusuyo sehemu za siri huwa wanaogopa kuwaonyesha madaktari huko chini.

    Nenda tu hospitali atapewa dawa na wewe utapewa dawa za kula kwani si ulikuwa unaingia chumvini? fungus au thrush zinaambukiza ndio maana kwa waislamu hawaruhisi oral sex unatoa vidudu vya mdomoni unapeleka chini na vya chini unapeleka mdomoni. Dakta atakuandikia nystatin pengine.

    ReplyDelete
  2. Pole kama alivyoshauri mdau hapo juu; ongozaneni; si wamama wote ni wawazi; wengine wana aibu sana.

    Na a inaweza isiwe fungus tu; maana wewe si daktari; nendeni hospitali haraka mkatibiwe.

    ReplyDelete
  3. Kaka pole sana...na mimi nakushauri umshike mkono huyo mke wako mpaka kwa daktari...ukifika muelezee daktari tena uwe muwazi...mimi nina ndugu yangu na yeye alishikwa na fangus, tena yeye ilibidi wamlaze na kumsafisha kizazi..sasa before its too late nenda tu kamuone daktari....

    ReplyDelete