Thursday, August 11, 2011

KUFIKA ANAFIKA ILA MIMI MHHHHHH....

jamani hili nalo.....


katika kufanya mapenzi naamini ni jambo ambalo wote wawili mnatakiwa kulifurahia haswa pale mnapofika kilele..


wote tunatambua ili kufika kilele kuna njia za kupita, sasa wewe na mpenzi wako mnajuwa inabidi mkae style fulani ili mfike kilele, lakini inakuwaje pale style fulani ndio nzuri ili mwanaume afike kilele halafu hiyohiyo style ni mbaya na inamuumiza mwanamke???????


kama ile style ya kuweka mguu wa mwanamke kwenye bega la mwanaume, ama mwanamke kuwa juu ya mwanaume hii wanaume wengi kidogo tu akihemea hufika kilele lakini kwa wale wanaume wenye umbile mrefu huwa tatizo kubwa sana kwa wanawake wao kwani wanawake wengi husema huumia haswa pale kijana unapofanya haraka utoke mwanamke yeye utakuta analalamika unadhani kwa raha kumbe anapata uchungu maana shurti unataka kumtoa kizazi looooo....


kufanya mapenzi ni starehe ya wote, hebu labda tujitahidi kuongea na mwenza kuwa anapenda style gani na ipi hapendi na umkalisheje ili aweze kuenjoy zaidi ili wote mpate raha zaidi..

Reactions:

0 comments:

Post a Comment